Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
Pro au Pro Max?
 
Hiyo paragraph ya mwisho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lol! Mbwa wote watakukoma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hujatwambia lakini kanunua ipi maana Iphone 12 ziko za aina mbili minimum na maximum. Nadhani tofauti yake ni hiyo maximum ukubwa wake ni mara moja ya nusu ya minimum pia hiyo max bei yake itakuwa juu.
Wanazengo watanipigia ramli wanifuate wanitoe ngeo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie
emoji23.png

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€,kudadek pesa nying hvyo
 
imeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]

Dahhhhhhh
Hii jeuri ya kiwango cha lami

Baba....endelea kukaza kamba..bado hawajakoma na jeuri zao
 
Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia.

Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa[emoji2363]

Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma mbwa nyie[emoji23]
Binamuu unatuita umbwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa iyo na yeye atakuwa anaiweka kwenye mfuko wa shati ili macho tatu zichungulie?
 
Back
Top Bottom