mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mkuu mimi si timu Kiba, unanikosea adabu.Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Kiba fans are trying out to get blood from a stone [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
publicity nimuhimu sana ......kwani yeye kasema eti wengine hawana wivu sumu......Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kanunua hiyo..na itatumika kama ofisi....Siamini yaani Diamond na familia yake wanavyopenda sifa ajenge nyumba hadi kufikia hapo tusijue? Labda kama kanunua
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kwani kuna mtu kasema Alikiba hana ofisi au ndiyo uwezo wako wa kufikiri? Halafu utakuta wewe ni mwanaume badala ya kukubaliana na Alikiba awe anakulipa kwa kuwa msemaji wake wewe unafanya hiyo kazi bure. Wanaume wa dsm bwanaNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kwani kuna mtu kasema Alikiba hana ofisi au ndiyo uwezo wako wa kufikiri? Halafu utakuta wewe ni mwanaume badala ya kukubaliana na Alikiba awe anakulipa kwa kuwa msemaji wake wewe unafanya hiyo kazi bure. Wanaume wa dsm bwanaNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu
Haaaa nini tena luckyNyooooooo!
Toeni hata pongezi pale panapostahiliNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kiba ni bwa mdogo sana kwa mond,ulimwengu wa sasa ni facts sio kama unavyosema unaamini.Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kiba hana bwana,acha kum proudNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Ulishaiona? au unaongea tu kishabikiNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Wewe unachojua ni kupokea buku saba Lumumba... Mambo ya biashara wapi na wapi??? Unajua maana ya risk taker??Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Sawa.Kiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu