Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
publicity nimuhimu sana ......kwani yeye kasema eti wengine hawana wivu sumu......
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Kwani kuna mtu kasema Alikiba hana ofisi au ndiyo uwezo wako wa kufikiri? Halafu utakuta wewe ni mwanaume badala ya kukubaliana na Alikiba awe anakulipa kwa kuwa msemaji wake wewe unafanya hiyo kazi bure. Wanaume wa dsm bwana
 
Ulishaiona? au unaongea tu kishabiki
 
Kuna watu wanachuki hivi kwanini diamond asibaki kuwa yete na huyo kibakuli wenu abaki kua yeye maendeleo ya mond uyo kijiko kafikaje tena acheni u team [emoji90][emoji90] fanyeni kazi vijana diamond respect dogo wacha wakuchukie tena kwa hizo rasha rasha mvua ndio kwanza haijaanza WCB mbele daima mara ooh hana nyumba ya ghorofa ile south yenu na hili tusi la leo ni office sio makazi hhhh team mkono mtupu haulambwi mtakufa kwa presha za wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mondiiiii[emoji119][emoji119] tusipangiane office inafichwa for what team pagalaaa omo ruksa
 
Ali Kiba na timu yake wapo hoi, kinachowafanya wawe relevant ni chuki zao dhidi ya mafanikio ya Diamond tu, otherwise tungeshawasahau kitambo kama Zay B.
 
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Wewe unachojua ni kupokea buku saba Lumumba... Mambo ya biashara wapi na wapi??? Unajua maana ya risk taker??
Unadhan bila kutake risk kuna jambo utalifanya maishani??? Wewe endelea kupiga poyoyo za ccm oyee, hapa unazi tuu....
 
Hakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa
 
Back
Top Bottom