jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Mkuu mbavu zangu jamaniAcheni hizo Watu hawafanani. Afu ya kibao Sisi hayatuhusu. Na mwisho OFISI SIO PUMBU ZIIFICHWE kwenye kaptula
Hajanunua Wala kujengaSiamini yaani Diamond na familia yake wanavyopenda sifa ajenge nyumba hadi kufikia hapo tusijue? Labda kama kanunua
Kama haoneshi chipukizi watajuaje matunda ya muziki?Nimeona pia nyumba yake aisee ila najiuliza jamaa why hata haoneshi
Hajanunua, iko rentedKanunua hiyo..na itatumika kama ofisi....
Vitu vizuri havijifichi wala havifichwi, kiba njaaaa tu,Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Zay be sasa yukoo gado[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ali Kiba na timu yake wapo hoi, kinachowafanya wawe relevant ni chuki zao dhidi ya mafanikio ya Diamond tu, otherwise tungeshawasahau kitambo kama Zay B.
Alaf km mond kafany kit kun ulazma wwt wa kumlnganxh na kiba....!!!??Kwani Mondi akionesha yake ni lazima na ya Ali Kiba yasemwe hapa? daaah!!!
KoooooNyooooooo!
Hakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa
Safi, Hapa Kazi Tu, waache akina Roma waende Zimbabwe wakakutane naMnangagwa.Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
Naona unajitekenya, na kucheka mwenyeweHongera mond kiba yake ni ghorofa kumi japo hapendi showoff
Umesahau na hii, kuwa ana kituo chake cha radio na tv siku nyingi ila hajataka kijulikane wala kisikike! ie KIBA FM na KIBA TV..Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Inawezekana zikawa ni Online radio/TV ambazo hazina gharama kubwa kuziendesha.Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Kama haujaelewa maana ya sarcasm basi mimi sifai kuwa Mwl wako anzia ngazi za chini nitakuchanganya tu nyamipumbaNyamiakili tueleweshe basi