Nasikia ndimu inatajwa humu,inauhusiano gani na mada iliopo hapa?! Tuvumiliane wengine tuna vichwa vigumu!
Ngoja niafute na kura zangu kabisa ili nihame vizurihhhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii Hama kabisa tubaki wachache
Hahaaaaa kuna watu wana mda mchafu aisee mi nawajua zaidi ya watatu wana I'd tofauti tofauti kuna ya kutukana watu nyingine kusifia pumba.
Nawaangaliaga tu wana mda mchafu kweli.
Hahahahaaa, hivi wanaweza vipi hayo mambo? Kweli watu wanajiweza!
Yaani niwe na id kibao kwa ajili ya kutusi watu? Huo ni zaidi ya uwendawazimu.
Lamborghini au ferari jamani?
Teh teh teh labda kama ataliacha huko huko SA maana kule kwake halifiki..
Mbona kama posche hiyo au macho yangu!! Hicho kilebo cha ferrari au posche
Lamborghini
WEnye nazo huwa hawapigi kelele wala kufanya show off character ila kina kajamba nani fujo mwanzo mwisho.
Lamborghini
Naona kelele za 'kaleni ndimu' zimeisha sasa.
Hahahahaaa jamani eeh, kuna la kujifunza hapa.
Nalo ni: acheni kuwa wakurupukaji na shirikisheni akili zenu walau kidogo tu.
Pia, jaribuni/ jitahidini kusoma vitu na kuvielewa kwanza kabla hamjavitolea maoni.
Manake baadhi ya watu walivyoitafsiri ile caption ya Zari ni sivyo kabisa.
Pia, punguzeni ushabiki hasi wa kutakiana na kuombeana mabaya na kushindwa kwani unawafanya muonekane hamnazo kuliko hata hao mnaowashabikia.
litafika tu maana leo nimeona wanaweka Tarmac kutokea kwake mpaka barabara kuu!!ahahahhahahahaaaaaaaaa!!diamond noma arifu
hapo sasa!!wamemchana leo huko insta wasanii vizuri tu
Safi sana Zari, unaonesha jinsi gani unavyotafuta na kutumia pesa zako, umeonesha jinsi gani kuwa wewe sio golikipa wa kusubiri uletewe...
Wengine wanajua kutumia tu na kwenda kuzichezea bila kuwa na uchungu wa kuzitafuta...
Naomba unipe proof kuwa hilo sio gari la Diamond....
Zari katisha..
ahahahahaaha chibu ni shidaaa mkuu!!yaani yamoto band kuiona tu ile gari wakasema ngoja tuitolee shooting mapema kabla haijaja bongo!!
Malimao leo yamefanya kazi kwa haters!!
gari ni ya diamond kwan hana pesa ya kununuaa,hata kama si lake lakin anauwezo wa kununuaa,
kina mwajuma tupo wengi maana wote tumo humu tumebananaa