Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond ni mswahili sana(figure of speech) halafu anajua kujipiga promo aisee, hapa usikute ameenda kufanya ile remix ya nyimbo yake nana na akina uhuru kaamua awarushe watu daaah ila jamaa kama ni certifications za attention seeking jamaa ana postgraduate aiseee...mimi namkubali sana huyu jamaa na kura nimeshampigia...

Via Lambourghini Gallardo
 
Safi sana Zari, unaonesha jinsi gani unavyotafuta na kutumia pesa zako, umeonesha jinsi gani kuwa wewe sio golikipa wa kusubiri uletewe...
Wengine wanajua kutumia tu na kwenda kuzichezea bila kuwa na uchungu wa kuzitafuta...

Maskini huyu bado anaota usingizini mpaka dakika hii hajitambui.
Kudadeki Ccm hoyeeeeeeeee mmethubutu mmeweza mmetuzalishia wajinga wa kutosha na sasa mnasonga mbele.
 
b0e2fc618b0c7952287c2676e86f73df.jpg

Sasa hiyo caption ndo inasema kwamba Zari kamnunulia Diamond hiyo gari?

Kaazi kweli kweli.

It's breathtaking!!!!
 
Haaaaaaaaaaa wakafie mbeleee......

Maana kina Mwajuma tumegoma kuelewa kabisaaaa

gari ni ya diamond Kwan Hana pesa ya kununuaa,hata kama SI lake lakin anauwezo wa kununuaa,
Kina mwajuma tupo wengi maana wote tumo humu tumebananaa
 
sure kuna mtu hapa ana id tatu mi namchora tuu!!
hyo moja kwa ajili ya matusi ya nguoni akishindwa kujicontrol
ni upuuzi mtupu mi nampotezeaga tu
kwa sababh hakuna tusi jipya duniani!

Hahaaaaa kuna watu wana mda mchafu aisee mi nawajua zaidi ya watatu wana I'd tofauti tofauti kuna ya kutukana watu nyingine kusifia pumba.
Nawaangaliaga tu wana mda mchafu kweli.
 
Sasa hiyo caption ndo inasema kwamba Zari kamnunulia Diamond hiyo gari?

Kaazi kweli kweli.

It's breathtaking!!!!

Na ukimbana Diamond atakwambia alimshukuru baby wake kwa kumkodia gari nzuri aliyokuwa anatamani kufanyia shooting.

Halafu kumbuka brother wanawake hawa kwa akili hizihizi za kina mke jina ndio tunatakiwa tuwawowe!! Huu ni msiba.
 
Ahahah hawaponi ng'o,ulisikia wapi donda ndugu linapona??maumivu milele

Hizi team zinashida sana domo hawamuwezi sanasana wataumia roho.....kijana anamek kila kukicha huyo wema n team yke watauza mpka sugu ziwaote hata robo hawatamfikia.
Kupenda hakulazmishwi eti bila wema domo atashuka huyo wema kwanza gundu tupu,hana lolote zaidi y showoff 2 za kijinga
 
Maskini huyu bado anaota usingizini mpaka dakika hii hajitambui.
Kudadeki Ccm hoyeeeeeeeee mmethubutu mmeweza mmetuzalishia wajinga wa kutosha na sasa mnasonga mbele.

Nani huyo?
 
hhhhhaaaa nakufungulia yako Tu special

hhhaahhaaaa...!!hakuna tusi jipya switiee...
we mrs ngosha tukana ukimaliza utalala!!

halafu mie km nadeal na watoto wa manispaa tatu tofauti.
watoto wa mbezi na wa vingunguti na deal accordingly..

tena wako kwenye pubert period,ashki majnuuni zimeawajaa!!

seuse wa hawa wa fake id's han'jui simjui..
hanipi presha mi atukane akimaliza tupa kwenye dustib life inasonga.

trh moja increament inapanda japo ndogo...!!
ila inatosha kwa bando la kumpigia promo aly k.....

wewe mimi najua ntakupata wapi!!
 
Mwanza au Igunga anaweza kua mstaarabu

Hahahahaaa, tatizo sio kuhamia..
Hatopaweza naona hata week tu patamshinda.
Keshazoea vigodoro + vidole juu na misuto huko si kumuonea tu?
 
Hizi team zinashida sana domo hawamuwezi sanasana wataumia roho.....kijana anamek kila kukicha huyo wema n team yke watauza mpka sugu ziwaote hata robo hawatamfikia.
Kupenda hakulazmishwi eti bila wema domo atashuka huyo wema kwanza gundu tupu,hana lolote zaidi y showoff 2 za kijinga

hapo sasa!!wamemchana leo huko insta wasanii vizuri tu
 
gari ni ya diamond Kwan Hana pesa ya kununuaa,hata kama SI lake lakin anauwezo wa kununuaa,
Kina mwajuma tupo wengi maana wote tumo humu tumebananaa

Haaaaaaa tumebanana kama luba.. Mbele hatuendi nyuma hatusogeiii
 
Na ukimbana Diamond atakwambia alimshukuru baby wake kwa kumkodia gari nzuri aliyokuwa anatamani kufanyia shooting.

Halafu kumbuka brother wanawake hawa kwa akili hizihizi za kina mke jina ndio tunatakiwa tuwawowe!! Huu ni msiba.

Hahahahaaa, sio wanawake wote bwana...hebu tutoe sisi wachache tunaojielewa.
 
Back
Top Bottom