Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

May be niulize swali kivingine. Do you have to choose a side?

Hapo ndio sijaelewa.

Haya enjoy bongo music
Eeish, kwani unadhani nampenda huyo mmoja tu? Ungeniuliza kwanza kabla hujatoa hitimisho.
Nawapenda wengine kama Bell9, Fid Q, Joh Makini, Khadija (wa bongo flavour sio taarab), Jay D n.k
Hiki kinachoendelea huku ni kati ya Kiba vs Diamond. ...na mimi niko upande wa Kiba.
Kwa hayo machache nadhani umenielewa vyema bibie.
 
Hahahahaaa, pls inatosha jamani maana kichwa kinaniuma sasa...
Leo sijui uko katika mood gani maana kila bomu unalotoa ni balaaa.

Kinachonisikitisha humu kuna kina dada sina shaka na elimu zao lakini inakuwaje wanashindwa kujuwa vitu vidogo kama hivi?

Mtoto wa Bakhresa akiupload picha kama hiyo hakuna maswali ni vitu vidogo sana hivi kwao lakini huyu mswahili sasa ameamuwa kuwadharau mashabiki wake kwamba ni kundi la mazuzu yasiyokuwa na tofauti na mabehehewa kinapoelekea kichwa na wao ni huko huko hobelahobela tu.

Naanza kuamini rasmi Lowasa ndio Rais wa awamu ya tano maana wapiga kura ndio hawahawa wasiotumia hata sekunde ya kuhoji na kudadisi.
 
Watu wanamaudhi duniani!!! Baada ya fitina za kutompigia kura kumalizika KTMA baby kaona ampoze mchuchu kwa Lamboghin!!! Haya hizi hasira mkimkosesha na hizi za MTV naona baby atashusha Private Jet
 
Yaani ni fedheha mno kwa watu kuwa wajinga kiasi hiki.

Mbaya zaidi ni kwamba hata kujistukia kuwa ni wajinga na wamechemsha hawawezi maana inavyoelekea hawana hata huo uwezo.

Hakuna mtu asiyechemsha. Tofauti iliyopo kweti sie wengine tukichemsha huwa tunajistukia mapema kuwa tumechemsha na tunajitahidi kujirekebisha.

Lakini hawa akina Kuluthumu.....hahahahahaaa tabu tupu.

Hahahahaaa. ....zaidi ya taabu.
 
Kinachonisikitisha humu kuna kina dada sina shaka na elimu zao lakini inakuwaje wanashindwa kujuwa vitu vidogo kama hivi?

Mtoto wa Bakhresa akiupload picha kama hiyo hakuna maswali ni vitu vidogo sana hivi kwao lakini huyu mswahili sasa ameamuwa kuwadharau mashabiki wake kwamba ni kundi la mazuzu yasiyokuwa na tofauti na mabehehewa kinapoelekea kichwa na wao ni huko huko hobelahobela tu.

Naanza kuamini rasmi Lowasa ndio Rais wa awamu ya tano maana wapiga kura ndio hawahawa wasiotumia hata sekunde ya kuhoji na kudadisi.

unajitahidi kuandika magazeti hu hu hu hu hu
 
Ha ha ha if you can't beat them confuse them. Sasa hata Davido wataacha kumpigia kura wataanza kubishan akma Ferrari Zari kamnunulia Diamond au la. Wakimaliza hiyo wataanza kutukanana kuulizia kama Ferrari ni original au Feki. Wakimaliza watakuja watasema Ferrari imenunuliwa kwa hela za sembe:becky:. Safi sana Diamond just confuse them. Haters are secret admirers. Hapa hata kupiga kura kwa Davido watasau.:becky: Aisee shule za kata zimezalisha vitu vya ajabu sana. Sasa wapo Instagram wengi hata kinggreza hawajui
 
Can you grab a screen print of that IG page and bring it here?

b0e2fc618b0c7952287c2676e86f73df.jpg
 
hiyo video yamoto band...sijuii hatudanganyikiii kura bado zinapigwaaa ama ninii....
 
Back
Top Bottom