Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Hahahah haya sasa mwenye gari kajitokeza.
Kuna watu mnaongea na kujifurahisha kumbe gari kapewa apige picha

Hivi unachukulia serious hizi porojo? Unazijuwa bei za Ferrari, Porsche na Lamborgin? Mtu akishafungamana na Le Mutuz basi uongo hugeuka ni sehemu yake ya maisha na uzuri anawajuwa vyema mazuzu wake jinsi ya kucheza na akili zao.
 
Haya sasa njia ya muongo ni fupi
 
Attachments

  • 1434471905024.jpg
    1434471905024.jpg
    53.1 KB · Views: 374
Imagine huko insta Kama jf tu hali ni hii

Na huenda huko hali ni mbaya zaidi kuliko JF maana walau JF kuna majukwaa kuna watu wazima wenye akili zao.

Huko Instagram inavyoonekana watu wanajazana ujinga kukilo kawaida.

Piga tu picha na gari halafu irushe, tayari ushachota watu.

Shameful.
 
Hahahahaaa, aibu naona mimi hadi natamani ni log out maana sio kwa kumwaga povu huku....
Akiba ya maneno ni kitu cha muhimu sana

Ndo maana huwa watu wanasema. Siku zote story ina sehemu mbili. Sehemu ya pili imetokea sasa na picha ya mwenye gari.
Watanzania bana walikuwa washawatisha watu. Mi nikajiuliza sasa ataileta lini huku apige watu fimboz kumbe gari ya kupigia picha
 
Hivi unachukulia serious hizi porojo? Unazijuwa bei za Ferrari, Porsche na Lamborgin? Mtu akishafungamana na Le Mutuz basi uongo hugeuka ni sehemu yake ya maisha na uzuri anawajuwa vyema mazuzu wake jinsi ya kucheza na akili zao.

Hahahahaaa uwiiii umejua kunichekesha kwakweli.
Eti mtu akishafungamana na Le Mutuz. .......
Dah, mbavu zinauma.
 
Ndo maana huwa watu wanasema. Siku zote story ina sehemu mbili. Sehemu ya pili imetokea sasa na picha ya mwenye gari.
Watanzania bana walikuwa washawatisha watu. Mi nikajiuliza sasa ataileta lini huku apige watu fimboz kumbe gari ya kupigia picha

Mimi nimeshafikia hitimisho kwamba Watanzania walio wajinga ni wengo mno kushinda walio werevu.
 
Wasubiri video inayokuja,diamond apost gari asionyeshe namba!!

Halafu utashangaa ukijagunduwa wadada karibu wote hapa celeb ni degree holder ndio ujuwe msiba wa elimu kwa Taifa letu, mtu anashindwa kuresoan vitu vidogo kama hivi, kwahiyo wakipelekwa Namnani hotel msela anasema yake wanavuwa chupi tu na wanaamini.
Ptuuuüuuuuuuuuuuuu.
 
Hahaha swali lako rahisi ila jibu tata kama kuuliza ccm uraia wa bashe .

Mie paw wangu kanipikia supu, im counting my blessings. Yatosha.
Hivi kwa mfano tu, hawa wasanii wetu tuwaulize wapewe zawadi ya Lamborghini au ktma award watachagua IPI?!
 
Back
Top Bottom