Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha ha aah mi nshacheka hadi nahisi nimechoka sasaYaan nacheka hapaa nashangaa Uzi umefungwa dadekiiiii tuhamieni hapaa yaan huyu ni davido hata mim niliona mtabisha sanaaa ,na sie tunabishaa Evelyn Salt Kimbley Heaven on Earth
Mods tufungulieni thread ya Acc fake ya Davido pls, kwanini mnatunyima uhondo? Mrembo by Nature cute b charty Matola Ms.Lincoln
wapi hukooo
Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...
Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!
Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!
It's only my Opinion..!!
BACK TANGANYIKA
wapi hukooo
Kwenye ile thread waliyokutelekeza peke yako ya Hoax kila Mrembo by Nature akikustuwa mwenzetu hustuki kumbe wenzio kina Mzurimie wamekuingiza chaka halafu wamesepa.
Ndio maana mnaitwa wa mikoani ni wazito sana kuusoma mchezo.
Breaking News: Diamond ambusu Zari kisogoni
source: kuchungulia kwenye tundu funguo la mlango
Ila leo nafurahia watu wamepashika uzi ule maana wamejulikana wakoje, kuna njia za kutoa watu pangoni naamini Diamond anaweza yoteeeeee
Tuanaopenda nchi yetu isikike sie tupige kura kama kawa kumvotiaDiamond katika category tatu
link hii chini
MAMA 2015
Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...
Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!
Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!
It's only my Opinion..!!
BACK TANGANYIKA
u r completely wrong....i [gat] got your back means i SUPPORT YOU.
Naaaaaaaaaaaaaam Dina!!oopsss!siasani kunahitaji moyo kwa kweli!nilikuwa nampigia promo baba yangu Augustino Ramadhni kule ili ashinde urais
Vipi mama kuna mtu kaibiwa??
Sawa Changudoa nimekupatasawa shoga la kiume...uchangudoa unalipa sana hapa mjin kuliko kuwa choko dume zima unavuja nnyaa..!! Pita hivii tukutane jion nikutafutie bwana we shoga kapuruwaa bwahahahah
Eeh bwana eeh? Wewe jamaa umetumia jicho la tatu.
Hata mimi nimejaribu kuwaza mara mbili alimaanisha nini kusema "I gat you back no matter what"?
Sio ajabu ni kama ulivyosema hapo..
Haya bwana.
Ha haaa ngoja nimalizie hii fanta yangu kwanza...
Kuna mod wanakula rushwa humu siku hizi tena mbaya zaidi hadi rushwa ya ngono, kuna kile kichakubimbii kinaitwa sijui Kimber nini ndio huwa kinajipendekeza kwa mods.
sawa nimemu ignore maana ananitafuta ubaya..ngoja nimuwache na upumbafu wakee!
Kwenye ile thread waliyokutelekeza peke yako ya Hoax kila Mrembo by Nature akikustuwa mwenzetu hustuki kumbe wenzio kina Mzurimie wamekuingiza chaka halafu wamesepa.
Ndio maana mnaitwa wa mikoani ni wazito sana kuusoma mchezo.
Eeh bwana eeh? Wewe jamaa umetumia jicho la tatu.
Hata mimi nimejaribu kuwaza mara mbili alimaanisha nini kusema "I gat you back no matter what"?
Sio ajabu ni kama ulivyosema hapo..
Haya bwana.
Kwani wapi kasema anunuliwa? Au neno thanks baby ndo kwa Kiswahili ahsante kwa kuninunulia gari ha ha ha