Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.
Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.
Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.