Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

heeeee heeeeeee unaweza zimia kwa hili bango aiseeeee

Ahahahaaa we huoni kama ni ajabu?yaani kurumbembe zina ashki majinun sijawahi kuona dina wallah!khaa!mpaka unashangaa hivi wananini na sisi?!jibu ni moja tu...Joto lao limepanda na linahitaji kushushwa kwa namna yeyote ile!!!
 
Ahahahaaa we huoni kama ni ajabu?yaani kurumbembe zina ashki majinun sijawahi kuona dina wallah!khaa!mpaka unashangaa hivi wananini na sisi?!jibu ni moja tu...Joto lao limepanda na linahitaji kushushwa kwa namna yeyote ile!!!


na Hilo joto wa kulishusha hayupo sasa,nishawajua sasa kumbe ni hicho kinawasumbiuaaaa,,pole zap
 
Kweli kabisa kuna wengine nyie wadada mnadhani wanawake wenzenu kumbe ni mameni haahhhahah

Kama ulivyosema kuna shobo mblnuko, shobo mbonyeo na shobo bapa pia hahahhhahah

Harusi sio zao wala hawajaalikwa humu minywele timtim lakini wametia timu.

Kuingia sehemu isiyo kuhusu ya nini kama sio midomo yao kama chuchunge inatafuta pace maana harufu zimezidi

Halafu hawana kazi chekini profile zao wameandika jobless hahahaha sio bora wangeandika wao ni mamalishe tungewaelewa au deiwaka.

Watashindana lakino hawatashinda.


jaman taratibu naona Kuna ban ishanukia wanapaniki mno tatizoo loo,dawa kali mno
 
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.


nimekushusha dume Zima unalimwa ban khaaa kisa haya maswala khaa!!umepaniki mpaka malimau yamedundaa,aisee umeniaibishaaa aiseeee
 
na Hilo joto wa kulishusha hayupo sasa,nishawajua sasa kumbe ni hicho kinawasumbiuaaaa,,pole zap

Tena joto kali mwenzangu sio kidogo!mbwa anapokuwa period ashki yake inakuwa juu sana!na hapo ndipo anapopandwa na dume la mbwa!sasa najaribu kuoanisha hizi tabia za shobo na za dog naona kama zinaelekea kuendana hivi

Ila moja lilikuwa linahangaika sana na ashki,nimelipanda sasa kidogo limetulia
 
Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.

Uuwiii Kim wee eti shobo mbinukooo...hehehee
 
Nanyie wa jf.mtununulie hata midoli ya gari basii
 
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.

Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.

Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.


yaan kwa promo sikuweziii,,,hhhhhhaaa yaan unanifurahisha balaaa duuu kwa hiyo mod wakuonee we naniii humu jf teh teh teh teh,,,,
Kumbe upo Facebook ndio maanaaaa ,,,dawa imekuingiaaa sindano imezama yotee yarabii duuuuuuu poleee,ila navyokuaminiaga umeniaibisha sanaaa kitu kidogo umepaniki uwiiii mwanaume Una Moyo mdogo HIV utaweza kuacontrol familia kweli khaaa!!!!
matumbo njoo uone rafiki yako huku ni shidaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom