Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Pdidy utafanya watu wableed na ambao washafikia menopouse ,wanawezaa sasaaa hadhiiiiiiii Yao Vitz wakijitahidi Paso et Kimbley

Afu we nlikwambiaje? Ntumie bhana. ila nimekumiss...
 
Last edited by a moderator:
Jamani msijisahau kwenda kujiandikisha kwenye daftari ,ili upate kitambulisho cha kupigia kura sio mmeganda humu Tu mnachezesha vidole ,nyuso zimewaparama,hamjakoga toka asubuhi,yaone mkajiandikishee ili muda ukifika ni kupiga Tu kura za kuchagua viongozi bora,mumenisikiaaaaaaa
Ninarudiii
 
wapunguzie dawaa sijui matumbo yupo wapi aje achekee naee

kakimbia hapa hapmtoshi.

Nani baba samira ha ha ha tatizo anachukulia mambo serious mnooo...ila ntammiss

Matola ni Fekelo id na hii ni Fekelo id hivi unahisi napungukiwa nini? Mimi ni wa kusumbuliwa na Annonymous? Baba Samira mwaka atawajambisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Uhame uende wapi ha ha ha labda Dubai au japan kwa baba samira

yaan Baba samira kaniwezaa ,kanichoshaa kila mahali kafika yeyee ,kila sehemu kafanya kazi yeyee,,,,,,sihami jf inanipa burudaniiiiii
 
kakimbia hapa hapmtoshi.

Matola ni Fekelo id na hii ni Fekelo id hivi unahisi napungukiwa nini? Mimi ni wa kusumbuliwa na Annonymous? Baba Samira mwaka atawajambisha sana.

wewe ndio unasumbuliwa na fekero I'd mpaka unalimwa ban ,umeniaibishaa usiniqoute kabisaaa kuanzia sasa nami nimekomaaaaaa,umenidhalilisha sanaaaaa
 
Wanawake wa jf .mbona kimya.wenzenu.wanatunza ....kuibiwa.majaliwaaa

Tutunze.uu

Mwanaumee ferrari. Vitz majaliwaa

binam unajua kunipa raha mieeee,,,,,limewashuka wana hamu hiyo lambojin wataiona google Tu wenzao wanaendeshaaa
 
yaan Baba samira kaniwezaa ,kanichoshaa kila mahali kafika yeyee ,kila sehemu kafanya kazi yeyee,,,,,,sihami jf inanipa burudaniiiiii
Baba samira ni injinia, ni doctor, ni mwalimu, ni police, ni kila kitu ha ha ha(akirudi ntamkoma hilo gazeti)
 
kakimbia hapa hapmtoshi.
yaalaaahaaaa maneno kuntu hayaaa

Yarabi tufike salama magogoni na lowassa wetu

Matola ni Fekelo id na hii ni Fekelo id hivi unahisi napungukiwa nini? Mimi ni wa kusumbuliwa na Annonymous? Baba Samira mwaka atawajambisha sana.
Yalaahaaaa.manenookuntuuu

Harooooowapeee wapeew
 
kakimbia hapa hapmtoshi.

Matola ni Fekelo id na hii ni Fekelo id hivi unahisi napungukiwa nini? Mimi ni wa kusumbuliwa na Annonymous? Baba Samira mwaka atawajambisha sana.
Hii quote yako sijaielewa hata, naona imenikanyagia waya tu hebu rudia
 
Back
Top Bottom