Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

makamanda nawaaminia .... siku ya tuzo itabidi kila mmoja kwa wakati wake huko aliko ajipongeze manake hii kazi nzito
hahaha yaani naanda champagne kwa ajili ya hiyo siku kitaeleweka tu yaanii vote vote votee....yaani hadi rahaa
 
Karibu mkuu!humu ndani bado tunaendelea kuwatibu wagonjwa wetu wa mtindio wa ubongo!wengine wamelazwa na wengine wanaelekea Intensive Care Unity sasa hivi

Hahahahahah tatizo wabishi kunywa dawa hahahah sijui kama watapona may be watakufa .
 
Hdi MTV Mama ziishe sitajibu mtu vibaya. hata aniprovoke vipi ntamwambia tu leo sina mkuki... manake hii kampeni ni nzito. so jamani tuwavumilie ili tuweze kutimiza lengo. muwaambie na wengine
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.
mkaka/mdada kwanini usitumie tu lugha nzuri kujibu mashambulizi? charty usimjibu tena. tukipewa ban unadhani tunaweza kamilisha jukumu mbele yetu??akitukana mwambie asante sana leta lingine
Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.
Hahahahaaa, mwenzangu asante kwa kunifumbua macho.Yaani watu wamewehuka hadi unajiuliza tatizo ni nini?
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa domo kama kipindi hiki wanachopitia sasa.
Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.
 
Last edited by a moderator:
hahaha yaani naanda champagne kwa ajili ya hiyo siku kitaeleweka tu yaanii vote vote votee....yaani hadi rahaa

Mimi nimeshamaliza hapa...nimepiga hadi nikachoka maana hata hawanipi limit.
Ngoja nirudi na nyingine sasa hivi..
 
Vote vote nimeshavote kwa best male mara mia napumzika nihamie best collaboration mamy

Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.
 
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.

Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.

Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.

wapi huko?? ntajie account moja huko facebook tukaongeze nguvu. nina mda sijaingia huko. najua wanatutafuta ila hawatupati ng'oooo....karibu kamanda tuendeleze mbio hizi
 
bwahahahahah mie mwenyewe nimestuka sasa sijibu tena maana wananitafutia ban ili nisihamasishee...ntasema hivii..nguruweee pita sina mkukiii mie...lol umenifurahisha saaana mrembo by naturee

Mie natafutwa hii wiki sasa tokea King Ali Kiba apate tuzo 6 ila nacheza nao, ban labda niamue kujitoa fahamu mwenyewe ila hakuna mpuuzi yeyote anayeweza kunisababishia ban huku.
CAMPAIGN NA IENDELEEEEE!
 
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.

mkuu nimekukubali hahaha kweli hili bomu litakuwa kama hilo walotengeneza wa US linalozweza lipua dunia nzima hahahahahah tena ukiweka OMG bundle ya airtel hela ndogo tu (kama elfu 19 hivi)unapata gb 10. yani bundle hii hata upige nyimbo kwa utube mwezi mzima hulimalizi...may be kwa movies online ndo unaweza maliza
 
Mimi nimeshamaliza hapa...nimepiga hadi nikachoka maana hata hawanipi limit.
Ngoja nirudi na nyingine sasa hivi..

afu nimekukubali niaje kumu ignore huyo mpuuzi hapo juu anayetafuta kiki....woiii leta popcorn tutafune huku tukisugua madole gumba kwenye ku votee...bwahahahah.... mtakufwaa u knw..!!
 
Mara davido Mara wizkid Mara sijui flavour hhahahahah mnahangakaika tu sababu hesabu hamziiui hahahah

Si ni dai tu hahahaahah
 
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.

Hahahahaaa uwiiii! Vibaya hivyo jamaniiiiii...
Usisahau kuhamasisha na ndugu jamaa na majirani..
Mimi kila saa nashika simu ya dogo nikishamaliza yangu nafuta kila kitu nahamia kwenye simu yangu.
Halafu nina email address 3, piga hesabu ninavyoharibu huko!
TUTAHESHIMIANA TU.
 
Hahaaahahah itabidi tunapeleke milembe labda watapona

Ahahaha ama hakika!maana utashangaa babu zima tangu asubuhi kazi kuquote ushuzi tu mpaka unashangaa anaumizwa na nini kwangu?!

Sina muda na visonoko waramba ukoko mimi!mfxiieew!!
 
Aisee mbona wamesema ya uongo? Mnataka kujadili uongo au? Huyu aloleta habari za Uongo ningekua Moderator ningempiga ban.
[h=1](Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015[/h]

Mkuu wewe unasema uongo wakati kuna watu wanakomaa hadi sasa kuwa ni acc ya Davido kweli?
Ajabu mods hawajampa ban huyo aliyeleta....hata hivyo wamuache tu maskini maana ana pressure huyo balaa, kila wanachokiona huko insta na fb wanaokota na kuleta huku.
 
Hahahahaaa, gari kanunuliwa na babe mkuu, hujui kua Zari ndio mwanamke mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani?
Ni mwanamke gani anayejua kutafuta pesa kuliko Zari? Hivyo usishangae yeye kumnunulia mpenzi wake 'Lamborghini' sio kitu kwake.
Kuna siku atamununulia helkopta washachoka na wambea kuwachungulia, sijui chip ashaanda uwanja??
 
Back
Top Bottom