Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Official account ya Davido instagram hii hapa kama alivyotuwekea Mrembo by Nature. Sasa mtu kama huoni kuna utofauti kati ya hizo account mbili si ajabu hii?
Hahahahaaa nacheka kama mazuri vile!

Hdi MTV Mama ziishe sitajibu mtu vibaya. hata aniprovoke vipi ntamwambia tu leo sina mkuki... manake hii kampeni ni nzito. so jamani tuwavumilie ili tuweze kutimiza lengo. muwaambie na wengine
 
Last edited by a moderator:
hhhhaaaa eti tukitoka tumewakimbia wa kumkimbia nani humu jf bado sijaona aiseee,,,,,
Yaan unanichekeshaaa

hapo sasa, We nani akimbiwe tena wapumue maana wazee wa JF walijua tukikuta waliyorusha tutawasaidia kusinzia ikabidi waifunge nisingelala huku na namvotia Diamond huku nawapa facts. wote wale wa Ajegunle tu.

Acha watoke pangoni, kumbe watu wanakurukutwa sana juu ya Diamond sijawahi kuona, haya Diamond wanataka uwapelekee mitumba yako ulokuwa unauza wavae maana si kawaida hii uwiiiiiiiii

Diamond Platnumz aka Chibu aka Mume wa Zari aka hakunaga aka President kwa matendo na tunaona.
 
u r completely wrong....i [gat] got your back means i SUPPORT YOU.

Unaishi nchi gani mkuu? hapa wanahitajika makayumba tu, au hujamsikia Hossam hapo juu? We jifanye unajua sana kumbe ndo bure kabisa by Kayumba voice..!!

Habari ndo hiyo....

BACK TANGANYIKA
 
Hdi MTV Mama ziishe sitajibu mtu vibaya. hata aniprovoke vipi ntamwambia tu leo sina mkuki... manake hii kampeni ni nzito. so jamani tuwavumilie ili tuweze kutimiza lengo. muwaambie na wengine
bwahahahahah mie mwenyewe nimestuka sasa sijibu tena maana wananitafutia ban ili nisihamasishee...ntasema hivii..nguruweee pita sina mkukiii mie...lol umenifurahisha saaana mrembo by naturee
 
cheki dume zima unavyokenua kama unatafuta bwana jf..em usinitafutie ban pita hiviii.....msalimie mbulula mwenzio anayepiga picha na magari ya watu.. Owo ni coco lem kip on voting kwan sh ngapiii!!!

We mama nini mbaya tena?
 
bwahahahahah mie mwenyewe nimestuka sasa sijibu tena maana wananitafutia ban ili nisihamasishee...ntasema hivii..nguruweee pita sina mkukiii mie...lol umenifurahisha saaana mrembo by naturee

wapite salama wana malele hao
 
Hdi MTV Mama ziishe sitajibu mtu vibaya. hata aniprovoke vipi ntamwambia tu leo sina mkuki... manake hii kampeni ni nzito. so jamani tuwavumilie ili tuweze kutimiza lengo. muwaambie na wengine

Hahahahaaa, mwenzangu asante kwa kunifumbua macho.Yaani watu wamewehuka hadi unajiuliza tatizo ni nini?
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa domo kama kipindi hiki wanachopitia sasa.
 
Naona vita inaendelea na makamanda wa vikosi vya dai stability yenu kwenye battle platform dhidi ya haters and traitors IPO safi.

By the way am back with all mass weapons of destructions hahahahahah

Nilikua bize na Ku vote.

Count me in.
 
Domo hiyo gari si yake anawarusha roho tu, ni ya rafiki yake wa huko nje, yeye ameuzia sura tu hapo

Hivi unadhani niliamini? Domo anawaokota haohao mashabiki zake sio sisi bwana...
Huoni walivyoanza kushangilia? Tatizo lao tumeshalijua kwahiyo kila kitu wanakiparamia bila kujiuliza mara mbilimbili.
 
Unaishi nchi gani mkuu? hapa wanahitajika makayumba tu, au hujamsikia Hossam hapo juu? We jifanye unajua sana kumbe ndo bure kabisa by Kayumba voice..!!

Habari ndo hiyo....

BACK TANGANYIKA

oh really?!!
 
Hahahahaaa, mwenzangu asante kwa kunifumbua macho.Yaani watu wamewehuka hadi unajiuliza tatizo ni nini?
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa domo kama kipindi hiki wanachopitia sasa.

umeona wanavyopanic?? sasa sie wakitukana tunawaambia shkamoo au asante tunapita
 
hhhhhhaaaaa matola anakutafutia ban kaa nae mbali ,,,,,,Mimi nimetoka kujiandikisha nipate kitambulisho chezeyaaa

Weee!!kumbe ananitafutia bann?basi mwambie amechemsha!nilishamwambia mi nacheza na magenius na mataahira!
 
Yeye alidhani kakosea kwenye your akaweka you ambayo inaleta maana nyingine kabisa.
Kwahiyo kwa mtazamo huo yuko sahihi...na alisema ule ni mtazamo wake tu.

Bibie utaelimisha watu wangapi nchi hii? Halafu walivyowachoyo wakielewa hata kamshahara hawakupi... kwaaaaaaaa..!!

BACK TANGANYIKA
 
Hivi unadhani niliamini? Domo anawaokota haohao mashabiki zake sio sisi bwana...
Huoni walivyoanza kushangilia? Tatizo lao tumeshalijua kwahiyo kila kitu wanakiparamia bila kujiuliza mara mbilimbili.

Huwa nacheka sana kuona some ------ dizaini yako mkiwa na wajivuna kama kwamba MNA fame kubwa ambayo INA matter na kuleta impacts humu JF na huko kitaa.hahahahahahah

Hauna lolote mlugaluga wa nanjilinji unajifanya na wewe una status na influence humu hshahahah

Watu kama nyie wenye udhia mnapenyezewa rupia basi mmekwisha hahahahah

Mtaisoma namba hadi 0 mwaka huu.shwaini nyie.
 
Naona vita inaendelea na makamanda wa vikosi vya dai stability yenu kwenye battle platform dhidi ya haters and traitors IPO safi.

By the way am back with all mass weapons of destructions hahahahahah

Nilikua bize na Ku vote.

Count me in.

Karibu mkuu!humu ndani bado tunaendelea kuwatibu wagonjwa wetu wa mtindio wa ubongo!wengine wamelazwa na wengine wanaelekea Intensive Care Unity sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…