Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Lakini Kim hii ni dawa tu jamani coz tunawagonjwa wengi humu na ugonjwa umekua sugu.hahahahahah

Halafu cha ajabu hayawahusu hata kama ikiwa uongo,sisi wenyewe tumekubali kuongopewa na domo!tumeshawapa go ahead wapige kura watakavyo kwa wanayemtaka!!lakini bado kuna muwasho sehemu wanawashwa lakini hawataki kujikuna!

Tuendelee tu kuwakuna kwa kweli maana hakuna jinsi tena
 
Baba samira ni injinia, ni doctor, ni mwalimu, ni police, ni kila kitu ha ha ha(akirudi ntamkoma hilo gazeti)

Wewe Baba Samira ndani ya nyumba usizugike na hili koti jeupe ukadhani kila alivaae ni daktari hata wauza nyama buchani wayavaa pia. Hapana chezea Baba Samira leo watu wa mikoani niliwadhibiti vilivyooo.
 
Hiyo ferrari ataiendesha akiwa kwenye barabara za waoi?
Halafu kuna uthibitisho wa kununuliwa kweli hiyo gari au ndio yale ya kumiliki vx?
 
Wanawake wa jf .mbona kimya.wenzenu.wanatunza ....kuibiwa.majaliwaaa

Tutunze.uu

Mwanaumee ferrari. Vitz majaliwaa

Hahahahaaa, kumbe na wewe unajua kuchamba hivi?
Nilikua sijui aisee. ...
 
Hahahaaa huu uzi unanfanya nionekane chiziii...@P didy leo utaniua kwa kicheko.
 
kakimbia hapa hapmtoshi.

Matola ni Fekelo id na hii ni Fekelo id hivi unahisi napungukiwa nini? Mimi ni wa kusumbuliwa na Annonymous? Baba Samira mwaka atawajambisha sana.

Huko fb hizo acc/page za Tanzania wire ziko nyingi sana hata sielewi ulikua unamaanisha ipi.
Halafu ile ya kwanza si nikamuona ndugu yangu?
Hahahahaaa.
 
yaan kila kitu yeyee kajaaliwa na maulana na mkewe Ana raha kua na mume Ana fani kibaooooo

ahahaha umesahau na video producer,camera man,mbeba box,lakini cha ajabu anashinda humu kuqoute ushuzi!sasa najiulizaga hivi muda wa kufanya kazi au biashara anautoa wapi?!hata kusimamia studio anasimamia kweli?
 
Huko fb hizo acc/page za Tanzania wire ziko nyingi sana hata sielewi ulikua unamaanisha ipi.
Halafu ile ya kwanza si nikamuona ndugu yangu?
Hahahahaaa.

Tafuta ile iliyojaa mituusi mmikuumaa miikuun.du huumooooo ndio salamu.

Mimi kule sicomment wanaoniamkia shikamooooo wapo wengi mule napita kimyakimya tu.
 
ahahaha umesahau na video producer,camera man,mbeba box,lakini cha ajabu anashinda humu kuqoute ushuzi!sasa najiulizaga hivi muda wa kufanya kazi au biashara anautoa wapi?!hata kusimamia studio anasimamia kweli?

simuwez Mie yaaan Kati ya watu walionichoshaa jf ,nae anaongozaaa
Sijui anakula maharage ya wapi yulee
 
Watu wasisikie ngoma vibwebwe kiunoni, hawajui ngoma nyingine za kupunga mashetani...
 
Hahahahaaa, kumbe na wewe unajua kuchamba hivi?
Nilikua sijui aisee. ...
Haahaaaa binaaadaamuuuuuuu feerariii aachomeee wachomeeeeeww dplatnum

Aiwekwi lt 20.ile utaishia salenda frm posta .loh

Raha ga penzi sugua vizuri nyie.mjianaume ya.jf t u jitahdini mwenzenu anatumikaaa vizuriii
 
ahahaha umesahau na video producer,camera man,mbeba box,lakini cha ajabu anashinda humu kuqoute ushuzi!sasa najiulizaga hivi muda wa kufanya kazi au biashara anautoa wapi?!hata kusimamia studio anasimamia kweli?
Kashangae mmu wadada wanakesha wanayachambuwa mapenzi jiulize sasa wanatiwa saa ngapi?
simuwez Mie yaaan Kati ya watu walionichoshaa jf ,nae anaongozaaa
Sijui anakula maharage ya wapi yulee
Nimekuja na ndoo yangu ya sato ile kubwa mahaarage bado saanaaaa.
 
Kashangae mmu wadada wanakesha wanayachambuwa mapenzi jiulize sasa wanatiwa saa ngapi?

Nimekuja na ndoo yangu ya sato ile kubwa mahaarage bado saanaaaa.

Hapo mwanzo Mungu aliumba ulaya na marekani,akaweka maghrofa mazuri,snow inayoanguka kila mwaka,miundo mbinu mikali and then akaumba Afrika akaweka maliasili kibao kama madini,wanyama,gesi na mito na maziwa yaliyojaa samaki kibao,wazungu wakamlalamikia Mungu wakisema eeh Mungu mbona umewapendelea waafrika,Mungu akajibu,Acheni kiherehere subirini muone viongozi nitakaowapa
😂😂😂😂😂😂😂

Punguza stress kaka ake Mie
 
Tafuta ile iliyojaa mituusi mmikuumaa miikuun.du huumooooo ndio salamu.

Mimi kule sicomment wanaoniamkia shikamooooo wapo wengi mule napita kimyakimya tu.

Mmmmmmh, umbea huu? Haya bwana ngoja nikaitafute.
 
Lohhh kuuza mayai yametushnda ngoja tujaribu na ubungee haroooooo
 
Attachments

  • FB_IMG_14343075542543925.jpg
    283.6 KB · Views: 159
Tuchangishe tununue lambojini au ferrari loh shdaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…