Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Lakini Kim hii ni dawa tu jamani coz tunawagonjwa wengi humu na ugonjwa umekua sugu.hahahahahah
Halafu cha ajabu hayawahusu hata kama ikiwa uongo,sisi wenyewe tumekubali kuongopewa na domo!tumeshawapa go ahead wapige kura watakavyo kwa wanayemtaka!!lakini bado kuna muwasho sehemu wanawashwa lakini hawataki kujikuna!
Tuendelee tu kuwakuna kwa kweli maana hakuna jinsi tena