Kabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.
Tunasahau kuwa kuhongwa kuna viwango kuanzia kyupi hadi Ferrari ,usisahau kuna watu wamehongwa ubunge viti maalumu na ukuu wa Wilaya.
Ha ha ha zawadi zilozoelekea ni vyupi, singlend na kadi Lamborghin tuwaachie zari na diamondKabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.
Tunasahau kuwa kuhongwa kuna viwango kuanzia kyupi hadi Ferrari ,usisahau kuna watu wamehongwa ubunge viti maalumu na ukuu wa Wilaya.
Huyu nahisi kuna mtu anatumia I'd yake. Nimebaki kucheka tu apa
Ahahaha wengine wamehongwa tuzo.
Hapa kweli na tuwaache walale. Tatizo maisha anayoishi Diamond na Zari hayajazoeleka Tanzania hasa kwa mastaa ,sasa hivi japo Diamond anaishi Bongo lakini kama yupo Nigeria ndio maana kila kitu chake ni habari .Ha ha ha zawadi zilozoelekea ni vyupi, singlend na kadi Lamborghin tuwaachie zari na diamond
Teh teh teh teh wale wanaoupenda umaskini watapiga mayowe sana.. Watakwambia wote tutafukiwa na mchanga, watasema Vits na Porsche ni sawa tu.. Wakishindwa sana watasema Porsche ni gali za mademu teh teh
= gari
Nakuamiania kila jukwaa upo.!
Kukuuu wa kithunguuu nchinjaji hanaaa taabu ebu niacheee cheee ebu
Unaa......dumu la petiroliiii ebu ni....e
Unaaaaa vitz m na ferrariii
Nakuamiania kila jukwaa upo.!
samahani wakuu huyu diamond ndio nani?
Mara ya kwanza na mimi nilikua 'nilikuwa' nahisi unakosea lakini baada ya kusoma maandiko mbalimbali nikajiridhisha kua 'kuwa' uko sahihi.Sema "ulijuaje" mara tatu kwa sauti huku unajisikiliza, jibu utalopata fanya siri yako.