Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Kabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.

Tunasahau kuwa kuhongwa kuna viwango kuanzia kyupi hadi Ferrari ,usisahau kuna watu wamehongwa ubunge viti maalumu na ukuu wa Wilaya.

Ahahaha wengine wamehongwa tuzo.
 
Kabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.

Tunasahau kuwa kuhongwa kuna viwango kuanzia kyupi hadi Ferrari ,usisahau kuna watu wamehongwa ubunge viti maalumu na ukuu wa Wilaya.
Ha ha ha zawadi zilozoelekea ni vyupi, singlend na kadi Lamborghin tuwaachie zari na diamond
 
Kuna traitors wamebadili hadi avatar hahahaha hii kuinyesha viashiria vya ushindi wetu haahagahha.
 
Ha ha ha zawadi zilozoelekea ni vyupi, singlend na kadi Lamborghin tuwaachie zari na diamond
Hapa kweli na tuwaache walale. Tatizo maisha anayoishi Diamond na Zari hayajazoeleka Tanzania hasa kwa mastaa ,sasa hivi japo Diamond anaishi Bongo lakini kama yupo Nigeria ndio maana kila kitu chake ni habari .

Huwezi kumkuta anapiga ndondo huko mbagala ,anaijua thamani yake. Na ndio maisha ya mastaa wengi duniani huwezi kumkuta Mess mtaani bila sababu zaidi zaidi utamkuta kwenye mechi tu.Na ndio mashabiki hawaishi hamu nae .Na ndio maana ishu ndogo kama hii inafika zaidi yapost miasaba kwa siku sababu kila mtu anahamu nae .

Sasa kaangalie yule alietangaza kuvamiwa nyumbani kwake theard yake iliishiaje !
 
Sema "ulijuaje" mara tatu kwa sauti huku unajisikiliza, jibu utalopata fanya siri yako.
Mara ya kwanza na mimi nilikua 'nilikuwa' nahisi unakosea lakini baada ya kusoma maandiko mbalimbali nikajiridhisha kua 'kuwa' uko sahihi.
 
Back
Top Bottom