Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Unaweza ukatumia email au phn number ila ili u vote kwa raha zako tumia email
mpaka mwezi uishe tutakua tushasahau
Mfungo mwema
Nakosaje kupiga kura labla..ni bora nisahau kuvaa chupi lakini sio kuvote for davido mamy
TAYARI NIMESHAJIANDIKISHA.Hahahahahahahah... hakyanani King hawezi kosa Tuzo kwa ushindani wowote unaohitaji kura kwa mtindo huo..!! labda wapeanage kama walivyopeana za All African huko South ambazo tunaambiwa wanaenda kukabidhiwa mwezi wa saba..!!
Btw, kajiandikishe momiee upate VC nagombea Ubunge zis time ujue..!!
BACK TANGANYIKA
ndo ivyo vote vote vote AFRIKA TUPENDANEMi nilidhani ukibofya tu kitufe cha vote inakuwa ndio tayari Sasa si inaonekana hao jamaa wamekodi watu na kuwa cafe ili wafungue email za kupigia kura?
JAMAN POLE SANA. MIMI NIPOAiiiiiighhhhhhhhhhhh,
Momiee hivi umewahi kumuona "Drug Addict" aliyekosa dope kwa siku tatu mfululizo.. Yaani mtoto unaroho mbaya wewe.. ni nini hii kunikeshesha siku tatu mfululizo bila lepe la usingizi..!! Hivi unaijua thamani ya sauti yako Kwangu.. Aiiiiiiiiiggggggghhhhhhh..!!
Nilikuwa taabani kwasauti yako mepona momiee.
BACK TANGANYIKA
Hivi mkuu ukifungua link ya kupiga kura unapiga kura kwa kutumia email au namba ya simu?
Nakosaje kupiga kura labla..ni bora nisahau kuvaa chupi lakini sio kuvote for davido mamy
Huyo hapo mama ubays nae Ana kichwa kama sende ashukuru manywele Brazilian hair yanamsitiri la sivyo,sio kwa muinuko huo
Dinazarde wacha matusi weyeeewe nae nnyaa kweli,ushajiuliza hao wadada kumi ,Kuna mmoja ashazaa mtoto au kubeba mimba ya wanaume wengine walionao,kama hapanaa basi nao ni wagumba ,,,hutaki leta kithibitisho hao wadada kila mmoja na mtoto wake,halaf ndio useme kashindwa kuwapa mimba,zari kawakomeshaa aisee
Na ukitaka kujua Daimond ni tasa nenda akutie chini kama hujavimba juu
Wema alikiri Ana matatizo ya uzazi au Hilo unajifanya hujui
Hebu fanya fasta kunitumia hiyo bajaji aise,nimechoka kupuyanga na tzd 1 1
Sasa bibie kununua ninunue na kuleta nilete..., aiiiiiggghhh mi hizo habari sinaga. Ukuje mwenyewe uchukue tena haraka kabla hajatafutwa mmiliki mpyaaaaa...!!
BACK TANGANYIKA
Yaan nacheka hapaa nashangaa Uzi umefungwa dadekiiiii tuhamieni hapaa yaan huyu ni davido hata mim niliona mtabisha sanaaa ,na sie tunabishaa Evelyn Salt Kimbley Heaven on Earth
Unamjuwa aliyetia mimba hiyo?
hhhhheeeeeeeeee
mekumiss hadi naumwa.............
Ile nyingine wameifungia nini................
swalama lakini
Wewee nayeee!!
Mpwa wako umemuona humu alivyojitoa akili?
Nimemuona..... ngoja huu mwezi uishe tukutane Calabash