Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Unaweza ukatumia email au phn number ila ili u vote kwa raha zako tumia email

Mi nilidhani ukibofya tu kitufe cha vote inakuwa ndio tayari Sasa si inaonekana hao jamaa wamekodi watu na kuwa cafe ili wafungue email za kupigia kura?
 
Nakosaje kupiga kura labla..ni bora nisahau kuvaa chupi lakini sio kuvote for davido mamy

Hahahahahahahah... hakyanani King hawezi kosa Tuzo kwa ushindani wowote unaohitaji kura kwa mtindo huo..!! labda wapeanage kama walivyopeana za All African huko South ambazo tunaambiwa wanaenda kukabidhiwa mwezi wa saba..!!

Btw, kajiandikishe momiee upate VC nagombea Ubunge zis time ujue..!!

BACK TANGANYIKA
 
tunaomba kadi ya gari isiwe ikawa yale ya kina wem sepetu na wolper wanapiga picha na magari ya watu kupata media atention ha ha ha gari hata reg no haina? huo ukuta na iyo scene ni bongo kweli?
 
Hahahahahahahah... hakyanani King hawezi kosa Tuzo kwa ushindani wowote unaohitaji kura kwa mtindo huo..!! labda wapeanage kama walivyopeana za All African huko South ambazo tunaambiwa wanaenda kukabidhiwa mwezi wa saba..!!

Btw, kajiandikishe momiee upate VC nagombea Ubunge zis time ujue..!!

BACK TANGANYIKA
TAYARI NIMESHAJIANDIKISHA.
GOMBEA UTASHINDA TUU

Mi nilidhani ukibofya tu kitufe cha vote inakuwa ndio tayari Sasa si inaonekana hao jamaa wamekodi watu na kuwa cafe ili wafungue email za kupigia kura?
ndo ivyo vote vote vote AFRIKA TUPENDANE
Aiiiiiighhhhhhhhhhhh,

Momiee hivi umewahi kumuona "Drug Addict" aliyekosa dope kwa siku tatu mfululizo.. Yaani mtoto unaroho mbaya wewe.. ni nini hii kunikeshesha siku tatu mfululizo bila lepe la usingizi..!! Hivi unaijua thamani ya sauti yako Kwangu.. Aiiiiiiiiiggggggghhhhhhh..!!

Nilikuwa taabani kwasauti yako mepona momiee.

BACK TANGANYIKA
JAMAN POLE SANA. MIMI NIPO
 
we nae nnyaa kweli,ushajiuliza hao wadada kumi ,Kuna mmoja ashazaa mtoto au kubeba mimba ya wanaume wengine walionao,kama hapanaa basi nao ni wagumba ,,,hutaki leta kithibitisho hao wadada kila mmoja na mtoto wake,halaf ndio useme kashindwa kuwapa mimba,zari kawakomeshaa aisee
Na ukitaka kujua Daimond ni tasa nenda akutie chini kama hujavimba juu
Wema alikiri Ana matatizo ya uzazi au Hilo unajifanya hujui
Dinazarde wacha matusi weyeee
 
Last edited by a moderator:
Hebu fanya fasta kunitumia hiyo bajaji aise,nimechoka kupuyanga na tzd 1 1

Sasa bibie kununua ninunue na kuleta nilete..., aiiiiiggghhh mi hizo habari sinaga. Ukuje mwenyewe uchukue tena haraka kabla hajatafutwa mmiliki mpyaaaaa...!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom