Yaani leo ninafuraha ya ajabu!!kama ameweza kumpa hilo shavu lenye mtonyo wa maana!atashindwa nini kumzalia mtoto
Nakwabia leo watu vinyeo juu hata kinyesi hakitoki!!!
yaan ni gariiiii ni gari ndio tunajuaa sie
Nasikia ndimu inatajwa humu,inauhusiano gani na mada iliopo hapa?! Tuvumiliane wengine tuna vichwa vigumu!
Naanza biashara ya kuuza malimao wadau!!
Imeandikwa kwenye kichwa cha mada.
"Diamond anunuliwa Ferrari na babe yake,zari The Bossylady"
ahahahahahaaaa!!yaani mie naionaga kwenye movie tu hii gari!
Msanii wakwanza bongo kuendesha lamborghlin
Anataka kujifanya ananijua sana kiasi cha kuweza kudiriki kusema nitakachomwambia....?
Ujinga mwingine unashangaza sana walahi!!!!
waulizia hilo kwa nifah,
hana la kufanya tu lakini huko kuroho kwamkereketa mbaya!!!!
hapendiiiii,kachukia hadi kichwa kinauma.
Ila huu mpambano mzuri kweli ila mwisho wa siku kuna watu watakimbia mjini...
am just saying😀
Hiyo ni mipasho ya vitimu vyao....usijifanye huelewi kihivyo bana.
Hivi kwa mfano tu, hawa wasanii wetu tuwaulize wapewe zawadi ya Lamborghini au ktma award watachagua IPI?!
ahahahahahaaaa!!yaani mie naionaga kwenye movie tu hii gari!
Msanii wakwanza bongo kuendesha lamborghlin
Alikuwa anataka kick kick tu
Natoa ofa y ndimu mwezi mzima lazma wapone
ninavote balaaa ukiona nimepotea ujuw navote
hhhahhaaaa...yani kuna watu wana id kumi kidogo ili kuja kutusi au kukejeli watu..!!stress za majumbani kwao wanakuja kumalizia watu wasiouwajua hata ukucha!
yaan lazima povu limwageee hapaaaaa,
Maneno ya wakosajiiiiii
Hii management team ya Diamond wana akili Sana! Baada ya kugundua limelight imeshift after KTMA awards ndio wamekuja na hii kushift attention na kwa mbaali naona wakifanikiwa...hii ndio itakuwa habari ya mujini sasa!