Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Yaani leo ninafuraha ya ajabu!!kama ameweza kumpa hilo shavu lenye mtonyo wa maana!atashindwa nini kumzalia mtoto

Nakwabia leo watu vinyeo juu hata kinyesi hakitoki!!!


wataashinda makalio juuu
 
Alikuwa anataka kick kick tu
 

Attachments

  • 1434470834663.jpg
    1434470834663.jpg
    53.7 KB · Views: 711
waulizia hilo kwa nifah,
hana la kufanya tu lakini huko kuroho kwamkereketa mbaya!!!!
hapendiiiii,kachukia hadi kichwa kinauma.
Ila huu mpambano mzuri kweli ila mwisho wa siku kuna watu watakimbia mjini...
am just saying😀

Nikimbie mjini kisa nini? Jaribu kuwa serious bwana...
Kama domo kapewa gari na mpenzi wake mimi inanihusu nini?
Hayo ni maisha yao binafsi ambayo mimi hayanihusu..
Balaa lipo kwenye mziki tu, ambako sina wasiwasi maana niko sehemu sahihi na kwa mtu sahihi...
Nae si mwingine bali King Kiba.
 
Hiyo ni mipasho ya vitimu vyao....usijifanye huelewi kihivyo bana.

Hii management team ya Diamond wana akili Sana! Baada ya kugundua limelight imeshift after KTMA awards ndio wamekuja na hii kushift attention na kwa mbaali naona wakifanikiwa...hii ndio itakuwa habari ya mujini sasa!
 
ahahahahahaaaa!!yaani mie naionaga kwenye movie tu hii gari!
Msanii wakwanza bongo kuendesha lamborghlin


yaan lazima povu limwageee hapaaaaa,
Maneno ya wakosajiiiiii
 
hhhahhaaaa...yani kuna watu wana id kumi kidogo ili kuja kutusi au kukejeli watu..!!stress za majumbani kwao wanakuja kumalizia watu wasiouwajua hata ukucha!

Hahahahaaa, hivi wanaweza vipi hayo mambo? Kweli watu wanajiweza!
Yaani niwe na id kibao kwa ajili ya kutusi watu? Huo ni zaidi ya uwendawazimu.
 
Hii management team ya Diamond wana akili Sana! Baada ya kugundua limelight imeshift after KTMA awards ndio wamekuja na hii kushift attention na kwa mbaali naona wakifanikiwa...hii ndio itakuwa habari ya mujini sasa!

Wewe unaamini kwenye kanunuliwa hiyo whip na bae wake?

I mean, hata mimi sasa hivi hapa naweza kwenda ku test drive Bentley nikapiga na picha kabisa.

Nikija kuiweka tu humu watu watameza tu kama wamezavyo mate!
 
Back
Top Bottom