Hahahah haya sasa mwenye gari kajitokeza.
Kuna watu mnaongea na kujifurahisha kumbe gari kapewa apige picha
Nasikia ndimu inatajwa humu,inauhusiano gani na mada iliopo hapa?! Tuvumiliane wengine tuna vichwa vigumu!
likiwa la Daimond ni la kushoot video kwa ni hawana uwezo wa kununua heheeee ngojw nilete malimau na tumikojo niwachanganyieee inaweza saidia
Hahahaha we nomaa axee!! vote 4 diamo n vanessa: mama.mtv.com/voting/
Hahahah haya sasa mwenye gari kajitokeza.
Kuna watu mnaongea na kujifurahisha kumbe gari kapewa apige picha
Haaaaaaa kwani nani kanunaaaa
Nauliza nani kanunaaaaa
Una roho ngumu sana kiongozi huogopi kuitwa hater?
Imagine huko insta Kama jf tu hali ni hii
Hahahahaaa, aibu naona mimi hadi natamani ni log out maana sio kwa kumwaga povu huku....
Akiba ya maneno ni kitu cha muhimu sana
Hivi unachukulia serious hizi porojo? Unazijuwa bei za Ferrari, Porsche na Lamborgin? Mtu akishafungamana na Le Mutuz basi uongo hugeuka ni sehemu yake ya maisha na uzuri anawajuwa vyema mazuzu wake jinsi ya kucheza na akili zao.
nashangaaaaaaaaa nani anataka kupasuka hhhhaaaaaaaaa
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?
Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?
Haya sasa njia ya muongo ni fupi
Haya sasa njia ya muongo ni fupi
Ndo maana huwa watu wanasema. Siku zote story ina sehemu mbili. Sehemu ya pili imetokea sasa na picha ya mwenye gari.
Watanzania bana walikuwa washawatisha watu. Mi nikajiuliza sasa ataileta lini huku apige watu fimboz kumbe gari ya kupigia picha
Wasubiri video inayokuja,diamond apost gari asionyeshe namba!!
Hivi kwa mfano tu, hawa wasanii wetu tuwaulize wapewe zawadi ya Lamborghini au ktma award watachagua IPI?!
Haya, nilihoji mimi nikaonekana hamnazo......ona sasa haya....
Hahaha swali lako rahisi ila jibu tata kama kuuliza ccm uraia wa bashe .
Mie paw wangu kanipikia supu, im counting my blessings. Yatosha.