Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Hii ni habari njema hasa kwa serikali yetu iliyofirisika TRA wakamue half half yao, kama si michezo yetu ile ya kuigiza.

Mimi baby wangu kaninunulia boxer am very proud of her.

Hiyo gari ni kwa ajili ya video mpya
 
Hahahahaaa, hivi wanaweza vipi hayo mambo? Kweli watu wanajiweza!
Yaani niwe na id kibao kwa ajili ya kutusi watu? Huo ni zaidi ya uwendawazimu.

sure kuna mtu hapa ana id tatu mi namchora tuu!!
hyo moja kwa ajili ya matusi ya nguoni akishindwa kujicontrol
ni upuuzi mtupu mi nampotezeaga tu
kwa sababh hakuna tusi jipya duniani!
 
Du sasa hapa wale wa kununa nuna si ndio sura zitaharibika kwa minuno. Dahh mwanamke anajua kupenda huyu mweee!!
 
Wewe unaamini kwenye kanunuliwa hiyo whip na bae wake?

I mean, hata mimi sasa hivi hapa naweza kwenda ku test drive Bentley nikapiga na picha kabisa.

Nikija kuiweka tu humu watu watameza tu kama wamezavyo mate!

Whatever the case,attention kashaipata. Anaweza kuwa kapost tu kuzuga lakini watu wako busy kujadili
 
sure kuna mtu hapa ana id tatu mi namchora tuu!!
hyo moja kwa ajili ya matusi ya nguoni akishindwa kujicontrol
ni upuuzi mtupu mi nampotezeaga tu
kwa sababh hakuna tusi jipya duniani!

SI nawe ufungue Tu hata kumi mpenzi ,mim mwenyewe na mpango wa kuongeza AMA nene tichaa halaf uje pm harakaa
 
sure kuna mtu hapa ana id tatu mi namchora tuu!!
hyo moja kwa ajili ya matusi ya nguoni akishindwa kujicontrol
ni upuuzi mtupu mi nampotezeaga tu
kwa sababh hakuna tusi jipya duniani!

Hahahahaaa, kumbe tupo na machizi humu?
Sijui kwanini mods wasiunganishe hizo id's zao ili waumbuke!
Hata hivyo mbwa ukimjua jina hakusumbui jina....
 
Hii ni habari njema hasa kwa serikali yetu iliyofirisika TRA wakamue half half yao, kama si michezo yetu ile ya kuigiza.

Mimi baby wangu kaninunulia boxer am very proud of her.

Asiyeweza kushukuru kidogo hata kikubwa hatoweza kushukuru. ..
Hongera kwa hilo.
 
Yaweza kuwa hata video shoot huko aliko.

Ndo maana nasemaga ufanboy na ufangirl ni mbaya sana wakati mwingine maana unafanya watu wasifikiri hata kidogo.

Imagine huko insta Kama jf tu hali ni hii
 
Back
Top Bottom