Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mi nmepungukiwa buku 2 kwenye nauli sitakuja, safari njema nletee baibui....huko Dubai tangulia tutakukuta tushangae woteee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nmepungukiwa buku 2 kwenye nauli sitakuja, safari njema nletee baibui....huko Dubai tangulia tutakukuta tushangae woteee
Tulia ulambe dawa, ni lack of exposure inawasumbuwa.
Stop bluffing...
I need a proof if its his or not..
Tulia ulambe dawa, ni lack of exposure inawasumbuwa.
Did I say it's not his?
Kama kuna watu hawajui kuwa super cars ni police cars za Dubai basi inabidi akatiniwe ugonjwa wa "lack of exposure"
Okay. Yameisha!!!
we ndio ulambe hayo magari utaishia kuyaona Tu kwenye picha,mwenzio Daimond kapewa zawadi na mbebezi wake,umesema we unapewaga boxer Tu hhhhhaaas chezeiyaaaaaaaaa
Sa kila mtu akienda Dubai hapa bongo atabaki nani? Unataka nchi ibaki peke ake ha ha ha muende wachache wengine tubaki kulindaTulia ulambe dawa, ni lack of exposure inawasumbuwa.
aaaaaaa nifah wataje waliojipa likizo banaaaa,mi nakuambia gari ni la dimondo napo Mie huniaminiii
Ha hahaha hongera baba nanii nakuona hapo pembeni ya gorofa japanHapa ni Osaka Japan nina hakika huyu jamaa hajafika Japan siku akifika hapa subirini zaidi ya fix hii ya leo.
Angalia mainjinia walichokifanya hapo.
Hapa ni Osaka Japan nina hakika huyu jamaa hajafika Japan siku akifika hapa subirini zaidi ya fix hii ya leo.
Angalia mainjinia walichokifanya hapo.
Anayesema ni photoshop na yeye hajielewewi kama nyinyi tu, Lamborghini Dubai ni police patrol car. Tembeeni muoshe macho.
Hahahahah stress free woyooooo. Nimepita tu wapendwa, hamkawii kunichamba na mie hadi nichanganyikiwe, nianze na kujiquote mwenyewe. Ok byeeeeemamaee utulipee sasa kumbe tunawapunguzia stress tena tulipenii alaaa
Umepotea mbebzIla watu mnapenda kukuza mambo.... Wapi amesema amenunuliwa??????
Sa kila mtu akienda Dubai hapa bongo atabaki nani? Unataka nchi ibaki peke ake ha ha ha muende wachache wengine tubaki kulinda
Hahahahah stress free woyooooo. Nimepita tu wapendwa, hamkawii kunichamba na mie hadi nichanganyikiwe, nianze na kujiquote mwenyewe. Ok byeeeee