Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

we ndio ulambe hayo magari utaishia kuyaona Tu kwenye picha,mwenzio Daimond kapewa zawadi na mbebezi wake,umesema we unapewaga boxer Tu hhhhhaaas chezeiyaaaaaaaaa

Hapa ni Osaka Japan nina hakika huyu jamaa hajafika Japan siku akifika hapa subirini zaidi ya fix hii ya leo.
Angalia mainjinia walichokifanya hapo.
 
Attachments

  • 1434478142067.jpg
    1434478142067.jpg
    80.4 KB · Views: 127
aaaaaaa nifah wataje waliojipa likizo banaaaa,mi nakuambia gari ni la dimondo napo Mie huniaminiii

Niseme wakati hili ni jukwaa huru kila kitu kinaonekana?
Hili sio group la siri bwana...
Kuhusu domo siamini hata kidogoooo!
 
Ila watu mnapenda kukuza mambo.... Wapi amesema amenunuliwa??????
 
Hapa ni Osaka Japan nina hakika huyu jamaa hajafika Japan siku akifika hapa subirini zaidi ya fix hii ya leo.
Angalia mainjinia walichokifanya hapo.
Ha hahaha hongera baba nanii nakuona hapo pembeni ya gorofa japan
 
Hapa ni Osaka Japan nina hakika huyu jamaa hajafika Japan siku akifika hapa subirini zaidi ya fix hii ya leo.
Angalia mainjinia walichokifanya hapo.

mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa
 
Anayesema ni photoshop na yeye hajielewewi kama nyinyi tu, Lamborghini Dubai ni police patrol car. Tembeeni muoshe macho.

Mhhhhh! Kwakweli itabidi na mimi niende huko Dubai kwa 'uncle' wangu nikajionee mie maana sijui kama ndio ningekua mimi ndio nimeumbuka hivi hadi sasa ningesha log out!
 
Back
Top Bottom