Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...
Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!
Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina
miss Chaga na
'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!
It's only my Opinion..!!
BACK TANGANYIKA