Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...

Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!

Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!

It's only my Opinion..!!

BACK TANGANYIKA
Ha ha ha watu kwa kujitungia lol, ahsante kwa kunichekesha
 
haha!!haha!!haaaaaaa....! mkalimani umeua aisee
is this a joke or what??
 
Last edited by a moderator:
team corner bar team jolly.:becky:

cheki dume zima unavyokenua kama unatafuta bwana jf..em usinitafutie ban pita hiviii.....msalimie mbulula mwenzio anayepiga picha na magari ya watu.. Owo ni coco lem kip on voting kwan sh ngapiii!!!
 
Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...

Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!

Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!

It's only my Opinion..!!

BACK TANGANYIKA

Eeh bwana eeh? Wewe jamaa umetumia jicho la tatu.
Hata mimi nimejaribu kuwaza mara mbili alimaanisha nini kusema "I gat you back no matter what"?
Sio ajabu ni kama ulivyosema hapo..
Haya bwana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...

Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!

Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!

It's only my Opinion..!!

BACK TANGANYIKA

Hujaelewa mkuu. Neno Gat your back linamaana anamsapoti ili atimize issue fulani. Neno I gat you back, kwa mujibu wako, means nimekupata tena. Acha kusoma kikayumbayumba.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa, chezea viroba vya asubuhi kabla hujala wewe?
Isijekua jamaa ni wale wa rombo?

aisee nifah huyu jamaa simsomi afu ni dume anashoboka na post yangu..anatafuta bwana nini bwahahaha jf buanaaa
 
cheki dume zima unavyokenua kama unatafuta bwana jf..em usinitafutie ban pita hiviii.....msalimie mbulula mwenzio anayepiga picha na magari ya watu.. Owo ni coco lem kip on voting kwan sh ngapiii!!!
Sawa nimekupata Changudoa
 
Ha ha ha watu kwa kujitungia lol, ahsante kwa kunichekesha

Bi dada Eveliyn Salt

Fanya kama alivyofanya Zari kwa Dai, We fanya Kwangu uone kama sijapagawa..!! Nakuhakikishia kama kucheka ni raha kwako basi jiandae kunenepa..!! Halafu sijatunga ujue....

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
sawa nimekupata changudoa

sawa shoga la kiume...uchangudoa unalipa sana hapa mjin kuliko kuwa choko dume zima unavuja nnyaa..!! Pita hivii tukutane jion nikutafutie bwana we shoga kapuruwaa bwahahahah
 
charty pls achana nae, usijepigwa ban bureeee.
Tukaendelee na campaign yetu bwana.
 
Last edited by a moderator:
Bi dada Eveliyn Salt

Fanya kama alivyofanya Zari kwa Dai, We fanya Kwangu uone kama sijapagawa..!! Nakuhakikishia kama kucheka ni raha kwako basi jiandae kunenepa..!! Halafu sijatunga ujue....

BACK TANGANYIKA
Kwani wapi kasema anunuliwa? Au neno thanks baby ndo kwa Kiswahili ahsante kwa kuninunulia gari ha ha ha
 
Yaan nacheka hapaa nashangaa Uzi umefungwa dadekiiiii tuhamieni hapaa yaan huyu ni davido hata mim niliona mtabisha sanaaa ,na sie tunabishaa Evelyn Salt Kimbley Heaven on Earth
 
Attachments

  • wp_ss_20150617_0007.png
    wp_ss_20150617_0007.png
    63.3 KB · Views: 90
Last edited by a moderator:
Hujaelewa mkuu. Neno Gat your back linamaana anamsapoti ili atimize issue fulani. Neno I gat you back, kwa mujibu wako, means nimekupata tena. Acha kusoma kikayumbayumba.

Eeeeenhh mkuu Hossam vipi tena..

Shule za Kayumbakayumba ziko Tanzania, Na Mimi ni Mtanzania unashangaa nini? Au unanitaka nihame nchi? Rais wa ccm atapatikanaje basi kama si ukayumba wetu?

Read between the lines, hujaelewa jipitie hivi~~~~~~~~~~~~~~~

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom