Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

simuwez Mie yaaan Kati ya watu walionichoshaa jf ,nae anaongozaaa
Sijui anakula maharage ya wapi yulee

ahahahahaha!tenaaaaaaaaa!!si bora maharage siku hizi yamepanda chart!zinaliwa njegere mwaya kwenye wali utazikuta na mboga pia,si ajabu kwenye supu pia zinawekwa,mchemsho zinawekwa ndio maana shobo mbinuko haziishi!!
 
Hapo mwanzo Mungu aliumba ulaya na marekani,akaweka maghrofa mazuri,snow inayoanguka kila mwaka,miundo mbinu mikali and then akaumba Afrika akaweka maliasili kibao kama madini,wanyama,gesi na mito na maziwa yaliyojaa samaki kibao,wazungu wakamlalamikia Mungu wakisema eeh Mungu mbona umewapendelea waafrika,Mungu akajibu,Acheni kiherehere subirini muone viongozi nitakaowapa


Punguza stress kaka ake Mie
Hiyo ni Yahaya 2:3-5 ha ha ha
 
Duuh hatariiii...........swali lako limekaaa kinoko mkuu looh!!
Ha ha ha mi naona watu ndo wamejaa unoko tu naseeb kajiandikia zake machache tu wenye akili za panzi na shule ya mlugo wakatafsirii wakanyambua wakakarabati wakatiatia chumvi pambaffffff na diamond anajua kuvuruga ha ha ha anapost kakitu afu haandiki ngoja sasa uone ki vumbi na jasho
 
Wachomeeee dinnaa wachomeeeeee wapi MB8 nikudownload ana.nini
 

Attachments

  • IMG_22769808661898.jpeg
    IMG_22769808661898.jpeg
    16.9 KB · Views: 137
  • IMG_22587450485975.jpeg
    IMG_22587450485975.jpeg
    36.2 KB · Views: 137
  • IMG_22651284476667.jpeg
    IMG_22651284476667.jpeg
    30.5 KB · Views: 135
Kwa chama cha mapinduzi yote yanawezekana mwenzangu,ngoja tuone kama bunge litavumilia kashfa za picha za utupu!maana mheshimiwa mtarajiwa madame kwa manyago hajambo!!
UJJAKOSEA KABiSA WANACHAMA WAKE WANAVYOPENDA MBUNYE LOH KASHAPITA MTUKUFU HON
 
Back
Top Bottom