Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Weraaa, umeiona ya mwenzenu au mnanifatilia mie tuuu.
Weraaa to uzalendoooo!
Kwaniiii, diamond si icon ya taifa??
Am soleee, furahiiii maana huwezi amini!
There is more to come ntaweka mpaka avatar ya bwana Salehe serengetiboi wa mama mondi.
Its a free country you know!

Hahahahah
 
Haaaaa hadi raha mie na usingizi umeisha halafu kesho inabidi niamkie Ilala kuchukua matunda na mbogamboga za genge langu lol

ahahahahaa!!nilijua nawe ticha(ooohsorry my)
Kuna mtu nahisi analia sasa hivi huko!
ahahahahaha team domo tunachamba kama diamond mwenyewe
 
afu nimekukubali niaje kumu ignore huyo mpuuzi hapo juu anayetafuta kiki....woiii leta popcorn tutafune huku tukisugua madole gumba kwenye ku votee...bwahahahah.... mtakufwaa u knw..!!
Nitafute kiki kwa mtu ambaye hata shule hajaenda? Una nini zaidi ya kujua kutukana matusi na kudhani ndo ujanjaaa. You must be a joker.
 
ahahahahaa!!nilijua nawe ticha(ooohsorry my)
Kuna mtu nahisi analia sasa hivi huko!
ahahahahaha team domo tunachamba kama diamond mwenyewe

Haaaaaaa alikuchukulia poa kumbe mziki mzito haaaaaaa, Team Naseeb kama bosi mwenyewe
 
ahahahaa!!niliona huruma kateacher hakujuagi kuchamba maskini wala matusi hajui!!ahahahahaha leo nimefurahi saaaaaaaana
 
ahahahahaa!!nilijua nawe ticha(ooohsorry my)
Kuna mtu nahisi analia sasa hivi huko!
ahahahahaha team domo tunachamba kama diamond mwenyewe

Kuna anayejifanya smart anaomba peace huku anatutukana anatafuta kiki ya ulady humu ikija ushabiki ni ushabiki likipasuka limepasuka namsoma tu na kuunganisha bomu likipasuka analo pia uledi feki wote utayeyuka atatoka pangoni kama wenzake.
 
kumbe nawe ulionaa eeee
 
ahahahahaa!!yaani leo nimeua bendi wallah tena
 
Back
Top Bottom