Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
umekula Wewe?
umekula Wewe?
Out of topic: Hivi Tz na Africa kwa ujumla ukimwi ulishaisha eeh au umepata tiba? Hii mitandao hatare.... Zari anachepuka kupasha kiporo kwa baba watoto Ivan, Ivan Ana galfrendo ambae nae ana baba mtoto wake wa kupasha kiporo ambae nae ana mtu wake.... Zari ana farouq ambae nae ana gelofrendi ambae alishagombana na zari...zari yuko na diamond pia ambae mbali na Wema Ana gelo wake Texas kwa shoo za USA na mwingine wa UK kwa shoo za UK. Hapa bongo diamond pia yuko kwa meninah ambae hadi kesho anaficha mapenzi yake kwa woga wa team Wema. Huyu hadi mimba ya diamond alishatoa na juzi tu ameonwa kwa mganga akihangaika kumrudisha diamond. Mtandao huu ni hatare ukizingatia umehusisha watu wa kwa nduli IDD Amin Dada ambao kwao HIV ni Kama maji ya kunywa na ngono ni Kama mafuta ya kupaka. Wema usirudi kwenye hii network Kama unajipenda.
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Mie nimemuona zari ndo mzuri ila hao wawili naona kawaida tu
Umeimbwa na jamaa fulani wa huko south africa anaitwa casper nyovest
Mama daimond kapendeza lakini hayuko seksiiii
View attachment 207001
Na sasa anadaiwa kutoka na binti wa Uganda mwenye vijisenti aishie Afrika Kusini aitwae Zarina Hassan almaarufu kama Zari.
Ha ha ha lamba ndimu usitapike, najua ni jinsi gani unachefukwa
chuki za wazi wazi ...imba wako af ukashinde...ety viewers nying sio kila anawatch vid ndio kaipenda ..
Nipo mtu wangu sema majukumu yanabana sana...Mungu anashusha neema zaidi na zaidi so tunazitumia zisituache.
Domo anaposhangilia ushindi ni vyema pia kumshukuru davido aliyempenyeza kwenye anga hizo. Kwanini sio nataka kulewa, mawazo n.k? Kwa kifupi tuzo hizi ni za davidoo (Kama waniger wenyewe wanavyotamka)
Domo anaposhangilia ushindi ni vyema pia kumshukuru davido aliyempenyeza kwenye anga hizo. Kwanini sio nataka kulewa, mawazo n.k? Kwa kifupi tuzo hizi ni za davidoo (Kama waniger wenyewe wanavyotamka)