Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Huyu wema sijui anawashwa na nini? Yani mie ningefinika kombe mwanaharamu apite tuu..
 
Mumuachen King Kiba Apate Upepo Wa Bahari
Niny Bila Kumtaja King Kiba Mashuzi Yanawavuja Mpaka Masikion
 
duh huyu ana zali kama jina lake mwezi mmoja kakutana na hatrick.wengine wataishia kuziona sio kukabidhiwa huyu bwana mdogo hata aishe kimuziki kesho tayari kuna history kaandika, walikuwapo na wapo wana bongo fleva wengi lakini kama sio yeye jdeey na joseph haule sidhani kama kuna mwingine ameweza kung'aa kimataifa ukiacha tuzo za nyumbani ambazo malalamiko huwa lukuki. hongera kijana.
 
Na bado nyie endeleeni kumshangilia na kumpigia kelele mtu ambaye amumfanyi aingize hela ila mwamtia ujinga ajione yuko juu huku hata mia mfukoni hana

Una logic lakini kwa sababu tumeharibiwa na makundi ya #team Kiba na #team Mond they will never see it kwa uzito unaostahili
Big up
 
Out of topic: Hivi Tz na Africa kwa ujumla ukimwi ulishaisha eeh au umepata tiba? Hii mitandao hatare.... Zari anachepuka kupasha kiporo kwa baba watoto Ivan, Ivan Ana galfrendo ambae nae ana baba mtoto wake wa kupasha kiporo ambae nae ana mtu wake.... Zari ana farouq ambae nae ana gelofrendi ambae alishagombana na zari...zari yuko na diamond pia ambae mbali na Wema Ana gelo wake Texas kwa shoo za USA na mwingine wa UK kwa shoo za UK. Hapa bongo diamond pia yuko kwa meninah ambae hadi kesho anaficha mapenzi yake kwa woga wa team Wema. Huyu hadi mimba ya diamond alishatoa na juzi tu ameonwa kwa mganga akihangaika kumrudisha diamond. Mtandao huu ni hatare ukizingatia umehusisha watu wa kwa nduli IDD Amin Dada ambao kwao HIV ni Kama maji ya kunywa na ngono ni Kama mafuta ya kupaka. Wema usirudi kwenye hii network Kama unajipenda.
 
Ni nyimbo gani aliyopata tuzo Domo? Jiongeze.

kwahyo hakustaili au?na kama hakustaili kwanini wamemuweka kwenye nominies?na kule napo kapendelewa au kahonga?na kama ni mpango wa kuwashusha wanaigeria mbona wanaigeria wengine wamepata.mlivyozomea mlizani hana mashabiki so kawasuprize kinoma eeeh mtaisoma namba poleni
 
Out of topic: Hivi Tz na Africa kwa ujumla ukimwi ulishaisha eeh au umepata tiba? Hii mitandao hatare.... Zari anachepuka kupasha kiporo kwa baba watoto Ivan, Ivan Ana galfrendo ambae nae ana baba mtoto wake wa kupasha kiporo ambae nae ana mtu wake.... Zari ana farouq ambae nae ana gelofrendi ambae alishagombana na zari...zari yuko na diamond pia ambae mbali na Wema Ana gelo wake Texas kwa shoo za USA na mwingine wa UK kwa shoo za UK. Hapa bongo diamond pia yuko kwa meninah ambae hadi kesho anaficha mapenzi yake kwa woga wa team Wema. Huyu hadi mimba ya diamond alishatoa na juzi tu ameonwa kwa mganga akihangaika kumrudisha diamond. Mtandao huu ni hatare ukizingatia umehusisha watu wa kwa nduli IDD Amin Dada ambao kwao HIV ni Kama maji ya kunywa na ngono ni Kama mafuta ya kupaka. Wema usirudi kwenye hii network Kama unajipenda.

Hivi huyo wema mzima mkwelii na wale mababu wake na Ck, king kessy na wengine wengi,,acha wauane
 
Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,

Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.

Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj

Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.

Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.

Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.

Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners

hahahahaaa, ungewaambia wabongo waache kupiga kura kama wametumwa manake ilikua shida instagram...ni kuelekezana tu namna ya kupiga kura...zile tuzo tofauti na zingine mi nlikua naona davido hata hahamasishi watu wampigie kura, he thought ingekua smooth ride and it turned out otherwise. Casper Nyovest anakubalika sana South ndugu yangu...angalia kuna video amefanya na Talib Kweli... So ni kura ndo ambazo zimewafanya washinde ambao hukuwategemea na sio umaarufu wa video na msanii kama ulivo wadhania ndugu yangu..Sidhani kama ni mpango wa chanelo kunyanyua mziki wa sehem zingine na kuua mziki wa Naija na wala si upendeleo kama unavosema
 
Back
Top Bottom