NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Huyu wema sijui anawashwa na nini? Yani mie ningefinika kombe mwanaharamu apite tuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanauliza alikuwa anagombea kategori hipi?
Pole #TEAM_KIBA kwa maumivu ya jana. Najua hii thread imekuja baada ya 3 bila
Mumuachen King Kiba Apate Upepo Wa Bahari
Niny Bila Kumtaja King Kiba Mashuzi Yanawavuja Mpaka Masikion
When we go international hamnaga team kiba wala team diamond. ..
Zari mrembo sana madam yeye akae atulie atafute muhongaji mwingine asukume maisha
Zari mrembo sana madam yeye akae atulie atafute muhongaji mwingine asukume maisha
Ila Shebeleza uko poa sana, look at it, video iko poa sana aisee.
Binafsi nilipendelea EMINADO.......
When we go international hamnaga team kiba wala team diamond. ..
Hivi ile Murano Wema bado anayo au Daimond aliichukua?
Ndomoo ni shidaaaaaaaaaaa
Davido mwisho lagos.....
Ni nyimbo gani aliyopata tuzo Domo? Jiongeze.
Out of topic: Hivi Tz na Africa kwa ujumla ukimwi ulishaisha eeh au umepata tiba? Hii mitandao hatare.... Zari anachepuka kupasha kiporo kwa baba watoto Ivan, Ivan Ana galfrendo ambae nae ana baba mtoto wake wa kupasha kiporo ambae nae ana mtu wake.... Zari ana farouq ambae nae ana gelofrendi ambae alishagombana na zari...zari yuko na diamond pia ambae mbali na Wema Ana gelo wake Texas kwa shoo za USA na mwingine wa UK kwa shoo za UK. Hapa bongo diamond pia yuko kwa meninah ambae hadi kesho anaficha mapenzi yake kwa woga wa team Wema. Huyu hadi mimba ya diamond alishatoa na juzi tu ameonwa kwa mganga akihangaika kumrudisha diamond. Mtandao huu ni hatare ukizingatia umehusisha watu wa kwa nduli IDD Amin Dada ambao kwao HIV ni Kama maji ya kunywa na ngono ni Kama mafuta ya kupaka. Wema usirudi kwenye hii network Kama unajipenda.
Shebeleza umeibwa na mwanamziki gani ili niutafte sijawahi kuusikia
Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,
Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.
Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj
Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.
Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.
Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.
Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners