i like the new couple in town, diamond and zarinah! sooooo cute together! way to go wallahi!
Hawawezi kukuelewa, hata hii thread mwanzo heading yake waliandika Diamonda amkalisha Davido tuzo za Chanel O mpaka watu wenye akili tulipokosoa naona na mods wakaliona hilo wame-edit heading ya thread isije ikamkosesha kolabo na Davido na akamblock uko Insta kama alivyomblock Jose Chamilione.
Tatizo kubwa mashabiki maandazi wa bongo ni upeo mdogo, Diamond ndani ya moyo anahitaji zaidi urafiki na back up zaidi kutoka kwa Davido sasa leo media za Bongo kupitia mashabiki maandazi zimkejeri Davido hivi tunamjenga au tunampoteza Diamond? Vichwa maji wote hawalijui hili au wanadhani sisi ndio tunaosoma media za nje na wenzetu hawasomi media zetu online.
Matola mbona unajisumbua kujibu ? Sugarmamy yoyote au mtu yeyote mwenye chuki za kike na wema lazima asapoti hii regardless ya ukweli mchungu. Angalia unamjibu mtu wa aina gani kwani hii ni ishu ya common sense.Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.
Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.
Matola mbona unajisumbua kujibu ? Sugarmamy yoyote au mtu yeyote mwenye chuki za kike na wema lazima asapoti hii regardless ya ukweli mchungu. Angalia unamjibu mtu wa aina gani kwani hii ni ishu ya common sense.
Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.
Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.
Kuna watu wanashangaza sana tena utadhani siyo wazazi, hivi ni mzazi gani mwenye maadili anayeweza kujisikia faraja unamleta mwanamke kumtambulisha eti ndio mpenzi wako wakati ni agemate na Mama yako mzazi hii kama siyo laana ni kitu gani?
Diamond he deserve better than this guys.
Matola unahangaika hhhhhhaaaa ukweli utabaki pale pale zari ni mzuri pamoja na kuzaa,,mbona wanaochukuliwa na vibabu hamsemi, mwache kijana ale maisha mafupii
Si kila anayezaa anafaa kuitwa mzazi na si kila anayeitwa baba au mama ni mzazi. Mzazi ni sifa na hatua. Ili uwe nayo lazma utimize baadhi ya mambo. Wengi cku hzi ni baba na mama ila si wazazi.
WHO AM I??????? LOL...
1. Natoka Singida
2. Niliwahi kuwa mzuri kuliko wote Tz
3. Nina minyama uzembe
4. Limwili langu ni full ronyo ronyo nikizaa
watoto 3 kama Zari nitakua KIZEE
5. Zari ni mzuri kuliko mimi mara 1,000
6. Mimi neno NO ni neno la Kichina
7. Mi siku hizi namaindi sana vifirimbi vya
wazee
8. Nilitoka na Jimmy, BF wa Mercy
Galabawa, Jamal, Mudy Panki, Charlz
Baba, Moses Dubai, Said wa Mori,TID, MR
Bluu, Kanumba, Jumbe, Ndomo, CK
9. Mimi napenda sana maujiko na mambo
ya kipuuzipuuzi eg vigodoro, kuvaa midira
saresare, kutokjea magazetini na ujinga
mwingi
10. Kichwani kwangu ni pumba tu zimejaa
na sishauriki na wala sina chochote cha
maana nifanyacho hapa mjini zaidi ya
kugawa MSHONO
ITS ME
ZEE LA MICHEPUKOZ
Hhhhhhhhaaaaa uwiiii nimecheka mpaka mbavu hoii Honey Faith nifah geniveros njoon msome nimeikopi hii kwa sinta
Siku zote hapa JF nimejipambanuwa sina sera za kufuata mkumbo, Diamond nitampongeza kwa kazi nzuri anayofanya kwenye tasnia ni hard worker, lakini over my dead body siwezi kusupport kitendo cha Diamond kutembea na Mama yake ambaye anaweza kumzaa eti kwa kigezo cha uzuri no way.
Kwanza Diamond siyo Marioo ana pesa zake kwa nini asiwe na mrembo wa miaka 22?
Yani janmamke divorce with 3 kids limetoooombwa wee mdogo wetu ndio mnamuona he deserve that rejected material?
Jakaya Kikwete bado ana binti mmoja ngoja tuongee na Mzee amuozeshe huyu mdogo wetu atulie maana JK ana tatizo na Diamond na wote waislam hawa..

braza pamoja ya kua mimi ni fan wa domo but kiukweli nilisha sema na nitasema tena na tena domo kachemka kwa zari pale ni oversize hastahili kua na demu kama yule,cha ajabu a kinacho nisikitisha ni mama wa diamond ina onekana ana sapoti huu mchezo mpk amekubali kuongozana na zari sauz kwenye tuzo ile peke yake ina toa picha halisi "what kind of mama she is" hii kitu si ya kuifumbia macho ni tatizo. ingekua dizain ya mama zetu sisi wengine ishu kama ile ingekua kimbembe cha hatari.