Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

i like the new couple in town, diamond and zarinah! sooooo cute together! way to go wallahi!
 
Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under age wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.

Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.
 
Hawawezi kukuelewa, hata hii thread mwanzo heading yake waliandika Diamonda amkalisha Davido tuzo za Chanel O mpaka watu wenye akili tulipokosoa naona na mods wakaliona hilo wame-edit heading ya thread isije ikamkosesha kolabo na Davido na akamblock uko Insta kama alivyomblock Jose Chamilione.

Tatizo kubwa mashabiki maandazi wa bongo ni upeo mdogo, Diamond ndani ya moyo anahitaji zaidi urafiki na back up zaidi kutoka kwa Davido sasa leo media za Bongo kupitia mashabiki maandazi zimkejeri Davido hivi tunamjenga au tunampoteza Diamond? Vichwa maji wote hawalijui hili au wanadhani sisi ndio tunaosoma media za nje na wenzetu hawasomi media zetu online.

Tena waniger wakikuamulia wanakumaliza kiwest west (Ghana Cameroon Benin n.k) mwaka Jana west has a nigeria walimbeba sana pokello bba ila aliposema west ni mother fu..ckers tena kwa utani kilochofatia next week bba alitoka after mgomo baridi. Wale hawashindwi hata kumboko haramu mkicheza nao
 
Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.

Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.
Matola mbona unajisumbua kujibu ? Sugarmamy yoyote au mtu yeyote mwenye chuki za kike na wema lazima asapoti hii regardless ya ukweli mchungu. Angalia unamjibu mtu wa aina gani kwani hii ni ishu ya common sense.
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu wanashangaza sana tena utadhani siyo wazazi, hivi ni mzazi gani mwenye maadili anayeweza kujisikia faraja unamleta mwanamke kumtambulisha eti ndio mpenzi wako wakati ni agemate na Mama yako mzazi hii kama siyo laana ni kitu gani?

Diamond he deserve better than this guys.
 
Last edited by a moderator:
WHO AM I??????? LOL...
1. Natoka Singida
2. Niliwahi kuwa mzuri kuliko wote Tz
3. Nina minyama uzembe
4. Limwili langu ni full ronyo ronyo nikizaa
watoto 3 kama Zari nitakua KIZEE
5. Zari ni mzuri kuliko mimi mara 1,000
6. Mimi neno NO ni neno la Kichina
7. Mi siku hizi namaindi sana vifirimbi vya
wazee
8. Nilitoka na Jimmy, BF wa Mercy
Galabawa, Jamal, Mudy Panki, Charlz
Baba, Moses Dubai, Said wa Mori,TID, MR
Bluu, Kanumba, Jumbe, Ndomo, CK
9. Mimi napenda sana maujiko na mambo
ya kipuuzipuuzi eg vigodoro, kuvaa midira
saresare, kutokjea magazetini na ujinga
mwingi
10. Kichwani kwangu ni pumba tu zimejaa
na sishauriki na wala sina chochote cha
maana nifanyacho hapa mjini zaidi ya
kugawa MSHONO
ITS ME
ZEE LA MICHEPUKOZ

Hhhhhhhhaaaaa uwiiii nimecheka mpaka mbavu hoii Honey Faith nifah geniveros njoon msome nimeikopi hii kwa sinta
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.

Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.

Matola unahangaika hhhhhhaaaa ukweli utabaki pale pale zari ni mzuri pamoja na kuzaa,,mbona wanaochukuliwa na vibabu hamsemi, mwache kijana ale maisha mafupii
 
Kuna watu wanashangaza sana tena utadhani siyo wazazi, hivi ni mzazi gani mwenye maadili anayeweza kujisikia faraja unamleta mwanamke kumtambulisha eti ndio mpenzi wako wakati ni agemate na Mama yako mzazi hii kama siyo laana ni kitu gani?

Diamond he deserve better than this guys.

Si kila anayezaa anafaa kuitwa mzazi na si kila anayeitwa baba au mama ni mzazi. Mzazi ni sifa na hatua. Ili uwe nayo lazma utimize baadhi ya mambo. Wengi cku hzi ni baba na mama ila si wazazi.
 
Matola unahangaika hhhhhhaaaa ukweli utabaki pale pale zari ni mzuri pamoja na kuzaa,,mbona wanaochukuliwa na vibabu hamsemi, mwache kijana ale maisha mafupii

Siku zote hapa JF nimejipambanuwa sina sera za kufuata mkumbo, Diamond nitampongeza kwa kazi nzuri anayofanya kwenye tasnia ni hard worker, lakini over my dead body siwezi kusupport kitendo cha Diamond kutembea na Mama yake ambaye anaweza kumzaa eti kwa kigezo cha uzuri no way.

Kwanza Diamond siyo Marioo ana pesa zake kwa nini asiwe na mrembo wa miaka 22?

Yani janmamke divorce with 3 kids limetoooombwa wee mdogo wetu ndio mnamuona he deserve that rejected material?

Jakaya Kikwete bado ana binti mmoja ngoja tuongee na Mzee amuozeshe huyu mdogo wetu atulie maana JK ana tatizo na Diamond na wote waislam hawa..
 
Nliuliza kwa nini mmemzomea Diamond wakati wa Fiesta. Majibu yalikuwa mengi, na ni bahati mbaya yote yalikuwa ni ya kijinga.

Vyovyote itakavyokuwa, siyaangalii mafanikio ya Diamond kama yake bonafsi, ila ya watanzania wote na kwa kweli kwenye tasnia yote ya muziki wetu hapa Tanzania.
 
Si kila anayezaa anafaa kuitwa mzazi na si kila anayeitwa baba au mama ni mzazi. Mzazi ni sifa na hatua. Ili uwe nayo lazma utimize baadhi ya mambo. Wengi cku hzi ni baba na mama ila si wazazi.

Kwakweli nakubaliana na wewe mia mia, Yani kuna watu sijui huwa hawajitathimini umri wao?

Ulimbukeni anaofanya Diamond leo ulipaswa ufanywe na Marioo sasa yeye umri wa ujana wake anatamanani kuona nyuchi za mama zake na bado kuna watu wanashangilia wakati kijana anapotea.
 
Ninachojua mimi ni kuwa kuna watu watajamba cheche hapa na kunya matofali !
 
WHO AM I??????? LOL...
1. Natoka Singida
2. Niliwahi kuwa mzuri kuliko wote Tz
3. Nina minyama uzembe
4. Limwili langu ni full ronyo ronyo nikizaa
watoto 3 kama Zari nitakua KIZEE
5. Zari ni mzuri kuliko mimi mara 1,000
6. Mimi neno NO ni neno la Kichina
7. Mi siku hizi namaindi sana vifirimbi vya
wazee
8. Nilitoka na Jimmy, BF wa Mercy
Galabawa, Jamal, Mudy Panki, Charlz
Baba, Moses Dubai, Said wa Mori,TID, MR
Bluu, Kanumba, Jumbe, Ndomo, CK
9. Mimi napenda sana maujiko na mambo
ya kipuuzipuuzi eg vigodoro, kuvaa midira
saresare, kutokjea magazetini na ujinga
mwingi
10. Kichwani kwangu ni pumba tu zimejaa
na sishauriki na wala sina chochote cha
maana nifanyacho hapa mjini zaidi ya
kugawa MSHONO
ITS ME
ZEE LA MICHEPUKOZ

Hhhhhhhhaaaaa uwiiii nimecheka mpaka mbavu hoii Honey Faith nifah geniveros njoon msome nimeikopi hii kwa sinta

Hahaahaaa hahahaaaa, lol inachekesha sana.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote hapa JF nimejipambanuwa sina sera za kufuata mkumbo, Diamond nitampongeza kwa kazi nzuri anayofanya kwenye tasnia ni hard worker, lakini over my dead body siwezi kusupport kitendo cha Diamond kutembea na Mama yake ambaye anaweza kumzaa eti kwa kigezo cha uzuri no way.

Kwanza Diamond siyo Marioo ana pesa zake kwa nini asiwe na mrembo wa miaka 22?

Yani janmamke divorce with 3 kids limetoooombwa wee mdogo wetu ndio mnamuona he deserve that rejected material?

Jakaya Kikwete bado ana binti mmoja ngoja tuongee na Mzee amuozeshe huyu mdogo wetu atulie maana JK ana tatizo na Diamond na wote waislam hawa..

Kwani aliolewa basi wala alikataliwa ukweni over her dead body kwamba hafai period
 
Siku zote hapa JF nimejipambanuwa sina sera za kufuata mkumbo, Diamond nitampongeza kwa kazi nzuri anayofanya kwenye tasnia ni hard worker, lakini over my dead body siwezi kusupport kitendo cha Diamond kutembea na Mama yake ambaye anaweza kumzaa eti kwa kigezo cha uzuri no way.

Kwanza Diamond siyo Marioo ana pesa zake kwa nini asiwe na mrembo wa miaka 22?

Yani janmamke divorce with 3 kids limetoooombwa wee mdogo wetu ndio mnamuona he deserve that rejected material?

Jakaya Kikwete bado ana binti mmoja ngoja tuongee na Mzee amuozeshe huyu mdogo wetu atulie maana JK ana tatizo na Diamond na wote waislam hawa..

braza pamoja ya kua mimi ni fan wa domo but kiukweli nilisha sema na nitasema tena na tena domo kachemka kwa zari pale ni oversize hastahili kua na demu kama yule,cha ajabu a kinacho nisikitisha ni mama wa diamond ina onekana ana sapoti huu mchezo mpk amekubali kuongozana na zari sauz kwenye tuzo ile peke yake ina toa picha halisi "what kind of mama she is" hii kitu si ya kuifumbia macho ni tatizo. ingekua dizain ya mama zetu sisi wengine ishu kama ile ingekua kimbembe cha hatari.
 
Ana uhuru wa kuchagua maisha atakayo na kufanya akipendacho,,, hata mkisema sanaaa ndio yupo naee mtafanyajee sasaa
 
braza pamoja ya kua mimi ni fan wa domo but kiukweli nilisha sema na nitasema tena na tena domo kachemka kwa zari pale ni oversize hastahili kua na demu kama yule,cha ajabu a kinacho nisikitisha ni mama wa diamond ina onekana ana sapoti huu mchezo mpk amekubali kuongozana na zari sauz kwenye tuzo ile peke yake ina toa picha halisi "what kind of mama she is" hii kitu si ya kuifumbia macho ni tatizo. ingekua dizain ya mama zetu sisi wengine ishu kama ile ingekua kimbembe cha hatari.

Ukiwa mshabiki wa mwanamuziki na ukawa objectively kama hivi ni rahisi kuwasaidia hawa wasanii wetu lakini tukisifia hata upumbavu inakuwa hatuzitendei haki akili zetu.

Mama yake Diamond mimi siwezi kumlaumu anaishi mjini kwa kipaji cha mwanawe hana uwezo wowote wa kunyooshea kidole na isitoshe ni mama wa kiswazi.

Wasichana wa age na level ya elimu kama alivyokuwa kidot ndio anapaswa kujichanganya na kuanza nao maisha mapya, Muziki una mwisho lakini kama hawa kina Babu Tale wangempa mwongozo mzuri angeoa msomi na kutulia na kuanzisha mabiashara ya Mahotel n:k ili siku mziki ukibuma anakula good time kama kawa.

Nikimkumbuka Mr Nice huwa nasikitika sana.
 
braza pamoja ya kua mimi ni fan wa domo but kiukweli nilisha sema na nitasema tena na tena domo kachemka kwa zari pale ni oversize hastahili kua na demu kama yule,cha ajabu a kinacho nisikitisha ni mama wa diamond ina onekana ana sapoti huu mchezo mpk amekubali kuongozana na zari sauz kwenye tuzo ile peke yake ina toa picha halisi "what kind of mama she is" hii kitu si ya kuifumbia macho ni tatizo. ingekua dizain ya mama zetu sisi wengine ishu kama ile ingekua kimbembe cha hatari.

Huwa tuko tofauti kimtizamo ila kwa hapa nimeouona ukomavu wako. Mwanzo nilikuchukulia poa Nakuheshimu mkuu. Kumpenda mtu ni kuwa mkweli
 
Back
Top Bottom