Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huwa tuko tofauti kimtizamo ila kwa hapa nimeouona ukomavu wako. Mwanzo nilikuchukulia poa Nakuheshimu mkuu. Kumpenda mtu ni kuwa mkweli
Aaai...ndo huniiti nije nicheke!Naomba mitegue kitendawili....WEMA DRAMA QUEEN!
Diva Beyonce mbona hutii neno unalike tuu?
Dinazarde...naomba nitengue fumbo ingawa sijaitwa....huyo ni Wema..Aisee domo sina mahaba naye ila katika hili plz!Yule ni mwanaume,Anafanya kazi yake na kupata pesa yake,ana haki ya kuchagua kuwa na mwanamke yeyotee....kwani kalazimishwa?mwacheni ajichapie kifaa icho wee!Kwani kadi ya clinic ya dai ipo kwa zari?Kama ni ngoma nani alimpima Zari?Aku....kwa raha zake!Wema alipo anaipata joto ya nafsi....
Hapa ndio Wabongo huwa naamini wengi ni Sachactric case, 24 years old na mama wa miaka 39 wapi na wapi? Sifa za kijinga watoto under age wa rika lake wamejaa tele Sinza, Mwenge, Mikocheni, Mbezi beach, Obey na Masaki kujipachika kwa mama wa watoto 3 ni ujuha.
Huyo kahaba ni size ya Billionare Le Mutuz.
Kuna watu wanashangaza sana tena utadhani siyo wazazi, hivi ni mzazi gani mwenye maadili anayeweza kujisikia faraja unamleta mwanamke kumtambulisha eti ndio mpenzi wako wakati ni agemate na Mama yako mzazi hii kama siyo laana ni kitu gani?
Diamond he deserve better than this guys.
Zari na Diamond wanapendeza sana, wamefiti kabisa. Namshauri Diamond amuoe kabisa Zari . Couple yao ni the best in East Africa.
Zari na Diamond wanapendeza sana, wamefiti kabisa. Namshauri Diamond amuoe kabisa Zari . Couple yao ni the best in East Africa.
ningemuona mtu ni wa maana sana kama angemwambia daimond aache uzinifu kwani uzinzi ni dhambi lakn kama mnamwambia azini na wasichana wenye umri wake ni sawa na kusema awaogope nyie binadamu lakini sio mungu wake
Age Ain't Nothing But A Number.
Eee yaan watu washaweka picha ya wema na zari wanalinganishaa
Wawaache ni mapenzi yao watu tunajua kuhukumu kwelii, ,eti mzee ooo bibii wakati halingani hata na mama zao,,,
Mara tuzo walikosea,mbona kina Davido wamempongeza lakini kwa vile nabii hakubaliki kwao ni sawa na angekosa humu kina matola wangechangamka balaa nashukuru kapata kawafunga midomo watu wanatapatapa tu
Mhu...naona mwisho unataka unichambe na mie haaa!
una jua nini zai tuseme tu ukweli licha ya uzuri alio nao zari but ki ukweli yule dada kaenda sana age hastahili kua demu wa diamond ...hata ninge kua mimi nisinge acha kumchapa demu kama yule but kuweka kambi pale ingekua ngumu ni hit and run ndicho alicho takiwa kufanya chibu.