BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Uchawi si lazima upae na ungo kaka....wanachokifanya Hawa ni uchawi plus plus....
hahahahahaaa...long live JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi si lazima upae na ungo kaka....wanachokifanya Hawa ni uchawi plus plus....
Aisee dadangu wewe una maneno!!!! Nimemsikia Masoud Kipanya akizungumzia habari za kuchimba visima, nimeshamshtukia kwamba analipgia mahesabu jimbo langu kwahiyo next week natimba huko huko... kwahiyo ukisikia Kim nana, njoo... fanya fasta!
Wazushi wameanza... awali walisema Chibu ameidharau Mbeya matokeo yake akina Mwanafyale wacha waje juu... ilikuwa ukiwauliza ni wapi Diamond kasema habari za kukashifu hotel za Mbeya wala hawakuwa na jibu. Leo tena wameanza.... eti kawanunia watu kisa kasahau tuzo! Hivi ni nani anaweza kusahau kitu ambacho amekifungua safari? Na kama amesahau tuzo, ni nini hiki kinachoonekan kwenye picha?Nanukuu kutoka kwa Mboni Mhita " Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South
Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa
shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa
bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo
pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa
stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka
nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao
kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe
kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba
ujirekebishe mdogo wangu."

View attachment 207444hiyo hapo
Wazushi wameanza... awali walisema Chibu ameidharau Mbeya matokeo yake akina Mwanafyale wacha waje juu... ilikuwa ukiwauliza ni wapi Diamond kasema habari za kukashifu hotel za Mbeya wala hawakuwa na jibu. Leo tena wameanza.... eti kawanunia watu kisa kasahau tuzo! Hivi ni nani anaweza kusahau kitu ambacho amekifungua safari? Na kama amesahau tuzo, ni nini hiki kinachoonekan kwenye picha?
View attachment 207445
Hiyo inaitwa hata usipomtaka upepo wa habari zake lazima ukukumbe!!View attachment 207444hiyo hapo
Naona unautafuta ugonjwa wa moyo kwa lazima.Kha!watu washamba sijapata ona,kisa nimecomment tu hapa eti picha ziwekwe...za nini?ili nione kipi cha ajabu?huyo ndomo kapita hapa migo...ningetaka kumuona ningeenda labda hizo picha wawekewe washamba wa mikoani huko sio mimi niliyeko mjini kila kitu kipo mbele macho yangu.
Naona unautafuta ugonjwa wa moyo kwa lazima.
Diamond ni kama ebola isipokupata lazima uiongolee tu.!
Jamani hivi lady jad hajawahi kuwa na hizo tunzo?
wanalo
yaelekea upo tayari kuwa mke wa davido na kina psquare
Heheheiyyyaaa....wanya maboga full kujistukiaaa wanatamaani waambiwe waoo...
Na bado kiwewe tu hicho....aambiwe mwingine ujihisi wewe inahusuuu....
Ukijistukia ndo wewe...ikikugusa niquote...
Leo Niko vizuri sanaaa.....
Hiyo hatari ipo kabisa... ni kama ilivyotokea Bongo Movie! Baada ya Kanumba kutangulia mbele za haki, Bongo Movie ikazorota kabisa kwa sababu ile ile... si kwamba Kanumba alikuwa mkali sana bali alikuwa hardworking mwenye kiu kubw ya ku-break international boarders. Kwa upande wa muziki ndo hivyo hivyo, wapo wanamuziki wakali kabisa lakini hawapo serious kwenye kazi as Chibu... the one and only hardworking ni AY lakini kwa hapa ilipofikia, AY hivi sasa muziki anaufanya kama hobbie... haonekani yupo serious kivile but in addition, aina ya muziki wa AY ni ngumu kidogo kupenya mipaka as compared to style ya muziki wa Diamond na wenzake.Diamond nilikuwa simkubali ila nimenkubali,Tanzania inasikika now mpaka kuchukua tuzo wakati zamani ilikuwaga ishu hata kuona video ya bongo ikichezwa Chanel O,nachoona hamna wa kujituma kama yeye akija kuacha mziki hivi si ndo hatutajulikana tena
weeeh!asahau tuzo?!ningeshangaa sana huo ni ujinga 1st grade sawa mzaz aliejifungua kusahau mtoto leba