Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Aisee dadangu wewe una maneno!!!! Nimemsikia Masoud Kipanya akizungumzia habari za kuchimba visima, nimeshamshtukia kwamba analipgia mahesabu jimbo langu kwahiyo next week natimba huko huko... kwahiyo ukisikia Kim nana, njoo... fanya fasta!

Hahahaaa kawaida tu....

Huyo Masoud acha ajishaue.....tunamtanguliza na baskeli ya miti.....haipand mlimaaa.....

Jimbo lako lilee....
 
Last edited by a moderator:
Heheheiyyyaaa....wanya maboga full kujistukiaaa wanatamaani waambiwe waoo...

Na bado kiwewe tu hicho....aambiwe mwingine ujihisi wewe inahusuuu....

Ukijistukia ndo wewe...ikikugusa niquote...

Leo Niko vizuri sanaaa.....
 
Wazushi wameanza... awali walisema Chibu ameidharau Mbeya matokeo yake akina Mwanafyale wacha waje juu... ilikuwa ukiwauliza ni wapi Diamond kasema habari za kukashifu hotel za Mbeya wala hawakuwa na jibu. Leo tena wameanza.... eti kawanunia watu kisa kasahau tuzo! Hivi ni nani anaweza kusahau kitu ambacho amekifungua safari? Na kama amesahau tuzo, ni nini hiki kinachoonekan kwenye picha?
 
wanalo
 
Nasikia Radio za Mtaa wa Pili zimebadilisha Single... sio tena kwamba Diamond anapenda show-off, sasa ni Zari ndie apendae show-off! Mi siamini kabisa kwamba ni Zari, bali ni huyu hapa:
 
Naona unautafuta ugonjwa wa moyo kwa lazima.

Diamond ni kama ebola isipokupata lazima uiongolee tu.!
 
Naona unautafuta ugonjwa wa moyo kwa lazima.

Diamond ni kama ebola isipokupata lazima uiongolee tu.!

Haha haaaa naona bado unakaendeleza kale ka mchezo kako...unakumbuka nilikuambia nini?
 
Heheheiyyyaaa....wanya maboga full kujistukiaaa wanatamaani waambiwe waoo...

Na bado kiwewe tu hicho....aambiwe mwingine ujihisi wewe inahusuuu....

Ukijistukia ndo wewe...ikikugusa niquote...

Leo Niko vizuri sanaaa.....

Hahaa acha ugomvi nana Lol
 
Diamond nilikuwa simkubali ila nimenkubali,Tanzania inasikika now mpaka kuchukua tuzo wakati zamani ilikuwaga ishu hata kuona video ya bongo ikichezwa Chanel O,nachoona hamna wa kujituma kama yeye akija kuacha mziki hivi si ndo hatutajulikana tena
 
Hiyo hatari ipo kabisa... ni kama ilivyotokea Bongo Movie! Baada ya Kanumba kutangulia mbele za haki, Bongo Movie ikazorota kabisa kwa sababu ile ile... si kwamba Kanumba alikuwa mkali sana bali alikuwa hardworking mwenye kiu kubw ya ku-break international boarders. Kwa upande wa muziki ndo hivyo hivyo, wapo wanamuziki wakali kabisa lakini hawapo serious kwenye kazi as Chibu... the one and only hardworking ni AY lakini kwa hapa ilipofikia, AY hivi sasa muziki anaufanya kama hobbie... haonekani yupo serious kivile but in addition, aina ya muziki wa AY ni ngumu kidogo kupenya mipaka as compared to style ya muziki wa Diamond na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…