Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Diamond nilikuwa simkubali ila nimenkubali,Tanzania inasikika now mpaka kuchukua tuzo wakati zamani ilikuwaga ishu hata kuona video ya bongo ikichezwa Chanel O,nachoona hamna wa kujituma kama yeye akija kuacha mziki hivi si ndo hatutajulikana tena
Kaka,diamond ni kama alivokua kanumba tu mzeee....enzi zile ana hustle kujipenyeza kwa wanaija,wabongo walijitahidi sana kumshusha..
Lakini kazi yake na bidiii yake ilionekana.
Baada ya kufariki tasnia imeshuka sana,na hata wale wapuuzi waliombeza wakaanza kujirudi ooh alifanya kazi nzuri(yaleyale ya kumsifia mtu akiwa amefariki)
So hata chibu anachofanya watu wanaweka chuki binafsi,lakini ipoo siku watakubali tuuu(naomba isiwe wakati hatunae)
Hiii ndio hali halisi ya maisha ya mtanzania,UNAFKI NA HUSDA NA CHUKI NA KWANINI NYINGI.