Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,

Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.

Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj

Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.

Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.

Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.

Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners
 
Ila Shebeleza uko poa sana, look at it, video iko poa sana aisee.

Binafsi nilipendelea EMINADO.......
 
Hongera chibu,wasanii inukeni muwe wengi huko international!!

Yani muziki wetu umeanza kitambo but ni ay na chibu tu ndo wamebeba hizo awards

Chuki,majungu na fitina hazijawahi kumsaidia mtu,

Support our own,
.

Sikumbuki kama AY amewahi kunyakua hizo tuzo,nachokumbuka ni kwamba amewahi kuwa nominated
 
Nyie watanzania inabidi kina chenge waendelee kuwafunza adabu sababu mnastaili kwa akili zenu fupi.

Mnashobokea wazungu tunaona pengine ngozi tofauti inawazuzua, sasa sielewi hii tabia ya kushobokea wanaijeria sijui mliitoa wapi. Muvi,mziki,mpira nigeria...

wenzenu hawana time nao!
 

Hongera Chibu watanzania tuko nyuma yako!
 
Watanzania muachie wivu wa kike, ndio maana kuna mdau mmoja humu amesema watanzania ni mazuzu ndio kama hawa.
 


Hivi Video Bora inatengenezwa na msanii anayejulikana na Dunia nzima tuu?..Sidhani kama umetumia akili yako vizuri kwenye kuelezea hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…