Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

wabongo wao ni upendeleo tu mbn IGY AZALEA kamkalisha eminem na drake na watu hawajalalamika
 
DIMONDR.jpg

It's official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby', awamu hii ameitwa ‘kaka'."Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud," aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa akizifuatilia.

 
wabongo wao ni upendeleo tu mbn IGY AZALEA kamkalisha eminem na drake na watu hawajalalamika

.....huko ndio usiseme...watu wameponda vibaya sana...kwanza kwa kuwa mzungu tena wa kike(not hip hop thing) na pili kwa kuwa si mmarekani....
watch this...
 
Last edited by a moderator:
Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,

Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.

Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj

Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.

Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.

Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.

Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners

yaelekea upo tayari kuwa mke wa davido na kina psquare
 
Hayo ni mawazo yako (opinion not fact) unaruhusiwa kufikiria chochote so long as hauvunji sheria za nchi, it is free country since 1961 (in lara1's voice ) hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
1. Best video sio lazima watu wacheze vizuri au wacheze kabisa.
2. 'Aye' ni wimbo mzuri wenye video ambayo ipo ok, but its not the best.
3. Views nyingi hazitokani na ubora wa video, bali umaarufu wa msanii na uzuri wa audio.
Note: tuzo hizi ni based on videos, na maoni ya wale wanaoelewa kuwa they are voting for the best video and not the best song!
 
Mna Mchukia mtu anayefanya vizuli na kuipa heshima nchi!
Zile tunzo za tz mkasema kapendelewa na hukonako? Mpeni sapoti mtu anayefanya vizuli ili wengine waige .
 
Back
Top Bottom