Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,
Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.
Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj
Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.
Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.
Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.
Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners