Mtoa mada akili zako hazitofautiani sana na za mama Hawa Ghasia
Hivi Video Bora inatengenezwa na msanii anayejulikana na Dunia nzima tuu?..Sidhani kama umetumia akili yako vizuri kwenye kuelezea hili.
Hongera Diamond.....japo sikupendi
Sikumbuki kama AY amewahi kunyakua hizo tuzo,nachokumbuka ni kwamba amewahi kuwa nominated
We support him. Mwenye wivu na Diamond akafie mbali!
wema na diamond wameachana lini?
Wema wapiiiiiiiiii
Kaka tena tobaaa!!Zari kapendezana na ndomo sanaaa!!kwa hilo big up!!Palipo Zari Wema hakai
Amerudiana ushoga na rafiki yake wa muda mrefu Penniel.