Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Naona wanavaa sare tu hhhhhaaa
Weeee Zari chiboko kila angle penye ukweli uongo hujitenga!!Toto mashaAllah.mmmUmeona eeeee Zari kibokooooo
Kilichowagombanisha kitatokea tena stay tuned.
Hongera sana Diamond we na project yako!
Wenye viroho mbaya wakanye boga..nyambaffff
Hongera sana Diamond we na project yako!
Mcharo kawa.mtaaamuuuu.... sasa tusubiri majirani wa mcharo a.k.a team Kiba watakavyokata pua kwa harufu ya kila siku ya 'nyama'
Mbona fo really anatajwatajwa humu huku uzi ni tuzo za platnumz.