Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

diamond ni levo za afrika sasa,msimpambanishe tena na hao underground
 
Waaay keshanyooshwa vya kutosha afu anamuita kaka!kachanganyikiwa coz nafas ya jna ilikua awe pale auze sura
 
Kwa nini asimpongeze kidume kwatuaji warembo. Roho inauma maana ahadi ya kuoana haipo tena mganda kaipenda zaidi. Namwambia diamond sukari ya warembo usidanganyike kuoa mapema kuna wanaonyemelea mali zako, malizia mijengo yako, watandike k za kutosha miaka 35 ndiyo uoe. Ukiwa na wasisi wasi tupia na ka nje kidogo.
 
Wema alisema kamwacha diamond,ila diamond hakuweka wazi kwamba wameachana,leo aliyemwacha mwenzake ndo anaumia
 
Kumlinganisha Almasi na Ally ni sawa na kulinganisha Bahari na Mfereji
 
Ndomoo ni shidaaaaaaaaaaa
Davido mwisho lagos.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…