Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mwarabu wa shinyanga utakuwa wale mpaka uhapie akyamungu mimi mwarabu ndio tukuamini.
Hhhhhhaaaaaa hapana mi wa kayenze, unapajua kayenze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu wa shinyanga utakuwa wale mpaka uhapie akyamungu mimi mwarabu ndio tukuamini.
Hhhhhhaaaaaa hapana mi wa kayenze, unapajua kayenze
Sipajui huko, ipo wapi hiyo kwani ?
Alaaa,ni mwanza banaa kuna shombe shombe za kufa mtu hadi bikra unapata fanya mchakato uje ubebe mtoto naturale huku
Mleta mada ndiye aliyekaimu nafasi ya H.O.D nini?hatupumui kila saa diamond....
Nitakuja kwa babu zangu huko mbona, ila mimi nakutaka wewe mwenyewe ndio chuma.
Mi nishawahiwaa zamaniii
Sasa kama umewaiwa si unanifanya mchepuko tu kibingwa. Wewe unataka kunipa mashombe wanaokula michembe na masangu mi ntaweza wapi.
una maana gan?
Mchepuko sio dili unataka nirudi na matope,,tafuta wakoo
Haya bana...
Vizuri kua muelewa