Diamond aongoza kwa pesa nyingi Kenya

Diamond aongoza kwa pesa nyingi Kenya

Alaaa,ni mwanza banaa kuna shombe shombe za kufa mtu hadi bikra unapata fanya mchakato uje ubebe mtoto naturale huku

Nitakuja kwa babu zangu huko mbona, ila mimi nakutaka wewe mwenyewe ndio chuma.
 
Mleta mada ndiye aliyekaimu nafasi ya H.O.D nini?hatupumui kila saa diamond....

Nadhani ndio yule kifesi cjui kaja na id nyingine baada ya ile ya mwanzo kupewa za uso kila akileta mada za diamond
 
Sasa kama umewaiwa si unanifanya mchepuko tu kibingwa. Wewe unataka kunipa mashombe wanaokula michembe na masangu mi ntaweza wapi.

Mchepuko sio dili unataka nirudi na matope,,tafuta wakoo
 
Back
Top Bottom