Diamond aonyesha Hundi ya pesa aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB


Kama hujui uliza wajuzi wakujuze!
 
Eleza ulichofundishwa shule.
Shule ulifundishwaje? Sasa ikiwa bima haiwezi ku-cover losses zinazotokana na natural disaster hiyo bima itakuwa ni bima ya aina gani? Au unazungumzia Life Insurance? Anyway, CRDB wenyewe hawa hapa:
 
Eleza ulichofundishwa shule.

we unadhani ni ulichojifunza shule tu?una elimu ya bima na una practice bima? au unataka kuleta ubishi? au ndio ubush lawyer?
 
diamond ni insured/mteja
crdb ni broker/intermediary
UAP ni insurer
Yani hata ningekua mimi insurer au broker ningetake advantage kutangaza biashara yangu kutokana na kuanguka kwa ukuta wa diamond especialy kwa kuwa ame-insure nyumba yake
ningeshangaa marketing dept za hzi kampuni km wasingetake advantage katika hili
 

Unajua Ex Gratia Payment wewe?
 
 
Haha....Kama ww ni mtanzania mwenye access ya media ni lazma kila siku utalisikia jina la diamond...iwe kwa heri au kwa shari....
 

1/4/?? World foolish day!
Huyu jamaa Government name yake ni Diamond?? Au ile name ya Nasbu??
 
Maskini siju iyo nyumba aliyomjengea mwanae mtarajiwa itaiona maana Mkeyamganda anadai
 
Hamna lolote wanataka kick tu.

Kama Diamond angekuwa amepata Hilo Janga tungeshasikia.Kwanza inaweza hata hakuwa na Bima. alikuwa Ila wakatumia huo mwanya wa Janga lake ili kujitangaza.

CRDB na UAP wanatafuta kick Ya kibiashara,hamna lolote hapo!
 
Ndio one usanii wameandika aka Yake kwenye Cheki !!!! Hahahaha

UAP na CRDB msifanye watu misukule
 

Uko nyuma sana. Inaonekana umekariri vitu. In practice you will get zero.
 

hawa waliolike sijui wanakukejeli au wamekubaliana na hu uutumbo? nenda ofisi za bima kapate elimu. Ni bure
 
hawa waliolike sijui wanakukejeli au wamekubaliana na hu uutumbo? nenda ofisi za bima kapate elimu. Ni bure

Kweli upumbavu ni sifa kama mrefu au mfupi
 

Acha uongo, hakuna unachojua kumbe....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…