mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 660
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
Kama hujui uliza wajuzi wakujuze!