stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
Rudi shule kwanza au hata kama unamchukia mtu sio hivyo, hapo ulitaka ni nyumba nzima idondoke. Chuki kitu mbaya sana
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
Wewe ulisoma insurance form 2 commerce itakua ndo maana uko shallow hvo.
umejijuwa sasa. hongera.Kweli upumbavu ni sifa kama mrefu au mfupi
umejijuwa sasa. hongera.
Samahani sana bibie, naona nimemgusa bwana wenu basi nakula matusi tuu.
Acha matusi wewe.umeona nimemwongelea mtu hapo? Wewe uliishia commerce ya form 2 na kile kitabu cha njano cha n.e saleem and by the way mm sio msikilizaji wa bongo flava nimeshangazwa na ukilaza wako kwenye mambo mepesi hivi.
Si nimekuomba samahani bibie? Au unatafuta lingine?
Sawa mgole nimekusamehe.
Ndio ufunguke mwenye taaluma yako
Epuka kutanguliza mihemko na hisia mbele bali weledi.
Teh teh...
Kwa hiyo bima hulipa kutokana na aina gani ya maafa?
Usioneshe upuuzi wako hapa, mi nimchukie mtu ili iweje? Nimeandika nnavyojua na wewe unaruhusiwa kukosoa na kusahihisha kama wengine walivyosahihisha .....utafikiri wote waliomo humu ni watoto na kula kulala kama wewe?kiazi we
Teh teh teh ,,,na familia mkuu yaani kama nisingewahi kuoa inawezekana ungekua shemeji yangu kwa yule dada yako afu ungekuja kukaa kwangu. Unabeba vyuma Mwili mkubwa halafu unakaa kwa shemeji.
Hayupo peke yake waone na hao waliompa likeHalafu na huyu ni graduate.